Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Mwanamke mfupi akikupenda huwa hana mzaha, anaona heri atoe chochote alichonacho kukusapoti,.

Akikupenda Huwa haachiki kirahisi labda aamue yeye tu.

Hawajiamini, muda wote wanakuwa wanavizia na wakijua una chapa kwingine basi vita yake ni kubwa mno.

Ni malaya wa kimya kimya, wajanja sana kucheza na akili ya mwanaume.

Yote mazuri na ufundi walionao ila tatizo tu visima vyao vifupi
 
Back
Top Bottom