Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hii mikakati inapaswa kufanywa kabla Mkuu sasa mshawaweka ndani unadhani inawezekana?Tutapeana mikakati ya kuwakabili.
Cha zaidi ni kujiongeza machungu tu hasa pale mmoja wenu atakapoleta mazuri huku wewe unayopitia si mazuri. 😅