Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mipango si matumizi...niliyoyapanga hayakutimia,ambayo sikuyapanga ndio yamefanikiwa.mipango si matumizi
Kula pension mama, bt vyuma vimekaza naomba nikusaidie kula Pension zakoHeri yenu ni vijana. Mie mstaafu ila niponipo tu
Nilijiwekea malengo mengine ila nilipata mengine;Tuendelee kumshukuru Muumbaji kwa yote
2018 inakuja
Ushauri
Malengo yapangwe kulingana na kipato na yawe yenye uhalisia
Unaweza kuyanga ktk maeneo matano
1. Elimu ....kuongeza elimu
2. Kazi ...kupanda cheo au kufungua au kuboresha biashara
3. Family ...kuwa na familia au kupata mtoto
4. Akiba ya fedha mwisho wa mwaka
5. Nyumba au kiwanja
Mimi nina mwaka sasa sichangiiMICHANGO IMEKUWA MINGI MNO, YAANI KILA MWEZI LAZIMA UVURUGE BAJETI KISA FULANI ANAOA AU ANAOLEWA. YAANI INABIDI UWEKE KWENYE BAJETI YAKO PESA YA MCHANGO.
MWAKANI KWA KWELI NATEGEMEA KUPATA HATERS WENGI SANA, NA QUIT KUTOA MINGANGO.
NITATOA MINGANGO YA CONDOLENCE PEKEE.
Kuna kitu kimoja au viwili hivi vilikuwa miongoni mwa malengo yangu ya mwaka nafikiri sitafanikiwa kuvitimiza.
Nakushauri soma shule jioniNilijiwekea malengo mengine ila nilipata mengine;
Nilipanga kusoma master,ila mwanamke niliekua namchukulia kama wa kuondolea genye alinibadilisha maisha maana alinitafutia kazi nzuri,yenye maslahi zaidi ya niliyokua nafanya,amenisaidia kutafuta viwanja zaidi ya vitano na zaidi nimejikuta nimeamua kumuoa na kama nielimu tumeshauriana tufanye kwanza kazi kwa ajili ya kufungua mradi wetu mpya hapo mwakani ndio tufikirie mambo ya shule
Aisee hongera sana, nami nafuata nyayo zako!Mimi nina mwaka sasa sichangii
Labda ugonjwa
Pia nimejitoa kwenye vyama vya wafanyakazi
Nitajiunga mwaka 2025
Mwenyezi Mungu akitupa uzima tele