Mkuu mbona hujaweka gariTuendelee kumshukuru Muumbaji kwa yote
2018 inakuja
Ushauri
Malengo yapangwe kulingana na kipato na yawe yenye uhalisia
Unaweza kuyanga ktk maeneo matano
1. Elimu ....kuongeza elimu
2. Kazi ...kupanda cheo au kufungua au kuboresha biashara
3. Family ...kuwa na familia au kupata mtoto
4. Akiba ya fedha mwisho wa mwaka
5. Nyumba au kiwanja
HahhhahhMkuu mbona hujaweka gari
hahahaaa,kwa hiyo mzee we unadance according to the beats sio...au tunasema upepo utapokupeleka ndo huko huko!Sikuwa na malengo hivyo mambo fresh tu.
Ndio hivyo mkuu.hahahaaa,kwa hiyo mzee we unadance according to the beats sio...au tunasema upepo utapokupeleka ndo huko huko!
Umetisha sanaJanuary moja 2017 ilinikuta na shilingi 200,000 tu. Nikiwa nyumba ya kupanga ya shilingi 70,000/= chumba na secure. Nikajiapiza December lazima nihamie kwangu. Ila mpaka apa. Nimeishia kununua Suzuki Keri na kuishi nyumba ya kupanga ya 300,000/= na balance ya cash money milioni 4. Miaka yangu ni 40 sasa.