Nilipanga mwaka huu niwe nanyonyesha matokeo mimba ilitoka na hazikuingia tena
Shukuru Mungu huwezi jua amekuepusha na nn!
Nilipanga mwaka huu niwe nanyonyesha matokeo mimba ilitoka na hazikuingia tena
nilipanga mwaka huu nimalize mkopo wa Bank na kupumzkika kukopakopa
but nitakuwa crushed
so INAbidi niendelee kuwa mkopaji kwa upole na unyenyekevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna vikwazo kivile kwa mtumishi zingatia tu 1/3 ... Mfanyabiashara ndio kimbembe😅😅usirudishe mpira kwa kipa mkuu!kubali tu!kwanza siku hiz benk wamezidisha vikwazo..wengi hawakopesheki
Hakuna vikwazo kivile kwa mtumishi zingatia tu 1/3 ... Mfanyabiashara ndio kimbembe
Uthaminishaji wa biashara yako ndio panapo amua kipato cha kukopa .... Na biashara za sasa mizunguko haisomeki mtihani kweliNamanisha kwa ssi wajasiriamali mkuu!
Are you a single Lady au single mother! Una miaka mingapi? Hiyo avatar ndo wewe? Ukinijibu Mme umepata kabla ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya shela