Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

La saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
Ww umejuaje poumbou erosion kama ni ugonjwa? Wakati mwanzilishi wa uzi hajasema km ni ugonjwa. Funguka
 
Mkuu hiyo dawa ya kijani ipo kwenye kichupa hivi kidogo chembamba kirefu.Ukiipaka lazima uchuchumae ili Pumbu zipigwe upepo angalau dk 2. Baada ya siku kama mbili ngozi ya pumbu inatoka kama unavyomenya ndizi.
 
[emoji23][emoji23]
 
Ahaaa tunaita pumbu jero asee maji ya kigusa huo moto wakeee kama umepaka iodini tinkcha kwenye kidonda
 
Hahahaa duh nimekumbuka mbalisana nilikosaga popuch kwasababu ya pumbu muwasho
 
Pande za bagamoyo a.k.a magambani pale lile joto liache kabsa hyo kitu ilisumbua sana
 
Hatari sana Bihawana high school hiyoo

Cha ajabu nilipoenda likizo home pumbu lilipona lenyewe bila hata kutumia dawa yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…