Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Karatu high school arusha nako uliitwa pumbu erosion, huo ugonjwa unalamba mpaka mavuzi, pumbu inakuwa Na chemichem ya maji yanatiririka kuelekea kwenye magoto!
Chuo kikuu nikakutana Na red eyes! Noma sana!
Ndo maana watu wanahasra Na bashite from koromijee!
 
Hiyo nilikuwa Tosamaganga Pumbu iliwiva ilikuwa nyekundu ukipaka dawa utafikili mtu anachoma pumbu maumivu yake Nilikuwa najifungia Room pekeangu nazunguka humo naruka najikamua acha ile kitu siji sahau

Halaf mbaya zaid inakula ngozi ya pumbu inabaki ka karatasi unahis Dakika 2 mbele Pumbu zinamwagika mamaye Halafu sikumbuki Dawa gani ndo Ziliniponesha[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kuna dawa fulani maji ya kijani ivi aiseeeee ukipaka ile unaweza jikuta umetokea assembly uchi wa mnyama kwa jinsi inavyouma baada ya hapo P inakauka na ngozi inababuka heeeee heeee usiombe msimu ule maana bweni linakua na harufu fulani ivi na hakuna wa kumcheka mwenzie.
Nimecheka mimi hahahaaaaa asante mkuu
 
Hahaha na shida ile ya majiiii, hujaoga wik nzima...gegedo linakua kavuuuuuuuuuu acha....
Nomaaaaaaaaaaaaa shida ya maji afuu mchana joto kaliiii usiku ni pozea baridi.. Kali na full upepooo dah hiyo p-eroision aseeeeee ilinisumbua sana ila now safuiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Karatu high school arusha nako uliitwa pumbu erosion, huo ugonjwa unalamba mpaka mavuzi, pumbu inakuwa Na chemichem ya maji yanatiririka kuelekea kwenye magoto!
Chuo kikuu nikakutana Na red eyes! Noma sana!
Ndo maana watu wanahasra Na bashite from koromijee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nilikuwa Tosamaganga Pumbu iliwiva ilikuwa nyekundu ukipaka dawa utafikili mtu anachoma pumbu maumivu yake Nilikuwa najifungia Room pekeangu nazunguka humo naruka najikamua acha ile kitu siji sahau

Halaf mbaya zaid inakula ngozi ya pumbu inabaki ka karatasi unahis Dakika 2 mbele Pumbu zinamwagika mamaye Halafu sikumbuki Dawa gani ndo Ziliniponesha[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We jamaa kweli unauelewa mchongo kiundani.Pumbu erosion ni stori mpaka kwa washkaji zangu walokuwa wanasoma Mtwango Sec.Kuna wengine wamebahatika kuwa nayo mpaka leo P Erosion.

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app
 
Wa minaki wanaelewa hiyo mambo pale ilikua mwanzo mwisho
 
La saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] endelea kusoma posts. Kuna mtu atatoa utatuzi wake
 
La saba
La saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
LA SABA HOYEEE...uko na kasheku msukuma
 
hahaha ile ilikuwa hataree snaa,,pumbu zinapukutika zinakua nyekunduuu,,dah boding nuxx snaa
 
Back
Top Bottom