Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Pumbu erosion kwa kiasi kikubwa ilikuwa inasababishwa na uchafu kwa kutokuoga muda mrefu na kuvaliana nguo. Pumbu zilikuwa zinatoa unga kama uko mashineni.
Kuvaa chupi mbichi.
 
Tuliosoma ukanda wa baridi naona hili halikutukuta. Naona wengi mliosoma maeneo ya joto ndo iliwakuta. Kitaalamu inasababshwa na nini?
Joto. Mzumbe ilikuwa September hadi November. Zilitesa sana.
Kumbuka umri huo ndio pubic hairs zinaota na hatukuwa na nyembe kunyoa.
 
Usinikumbushe hii kitu...dispensary ya mtaa wa home walinizoea kabisa...kila nikirud likizo toka NDANDA uboyzini lazima nkaitibu hii kitu
 
Haha Hii nakumbuka o lvl shule moja maeneo ya mbunguni arusha principal alkua ni padri, ukienda na ilo ttz et uende hme kutibiwa anakwambia nenda KAKITUPE tu utapona na kwel mrejesho ulkua watu wanapona kwel
 
Aisee nadhan ni fungus pamoja na tabia ya uchafu watu hawabadili boxer week,pugu ilikuwa common akimbo,maendeleo,umoja, mapinduzi
 
Alafu ile iansababishwa na maji ua chumvi pumbu linaliwa ngozi yote linakuwa kama mtoto wa panya mwenye siku mbili. Mademu walikuwa wanajikuna kinoma anajidai kama anachomekea shati anajikuna fasta anakausha
Hii ni kweli maana sisi tulikuwa tunatumia maji ya chumvi boarding. Pumbu inakuwa red halafu inawasha Sana. Wakati wa joto ndio balaa.

Boarding school acha Tu,
 
Back
Top Bottom