Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Pumbu Erosion ni shida sana.

Ukiwa na vuga ndio tabu zaidi. Usiombe litokee wakati wa joto hutavaa boxer wala nguo ya ndani
 
Kuna dawa fulani maji ya kijani ivi aiseeeee ukipaka ile unaweza jikuta umetokea assembly uchi wa mnyama kwa jinsi inavyouma baada ya hapo P inakauka na ngozi inababuka heeeee heeee usiombe msimu ule maana bweni linakua na harufu fulani ivi na hakuna wa kumcheka mwenzie.
Inaitwa white field lotion hiyo hatari ukipaka baadae magamba yanaanza kutoka.
 
Pumbu Erosion ni shida sana.

Ukiwa na vuga ndio tabu zaidi. Usiombe litokee wakati wa joto hutavaa boxer wala nguo ya ndani
Alafu ile iansababishwa na maji ua chumvi pumbu linaliwa ngozi yote linakuwa kama mtoto wa panya mwenye siku mbili. Mademu walikuwa wanajikuna kinoma anajidai kama anachomekea shati anajikuna fasta anakausha
 
Huwa ngozi ya pumbu inatoa unga unga flani hivi
 
Kuna ule ugonjwa Mzumbe unaitwa Zongweliasis Mzumbeata... Yan sura inavimba utadhani ulivamiwa na majambazi na kupewa kipondo.
Mzumbe Kulikuwa na pumbu erosion pia haswa Mkwawa(1,4) na Mirambo kwa sababu ya chupi kutokukauka vizuri. Mzumbe kuna miti mingi.
 
Acha kabisa hyo mambo... enzi hizo ndo nimetoka Moshi naenda bagamoyo secondary. .. naskia watu wanahadisia hyo kati... nilikaa pale toka mwezi wa nne mpaka wa tisa bado ikaendelea kuwa stori kwangu... kufika wa kumi wadudu wakaniingia ... ile kitu ukikuna raha ila tatzo upo class then kuna madem halafu joto...babake... utataman ukajiloeke kwenye omo...ni hatare
.. ikiwa severe unaumwa kabisa pumbu inakuwa kama rock pedestals kama mnaijua hyo erosional feature kwenye phyisical geography. .. ikaja kasumba oooh ..ukioga maji chumvi znaisha...nikaoga lakn wap...mpaka nikajua kuogelea... namshukuru mungu kwa hloo... ila mazngira ya shule mixer ukanda wa joto... u cant escape pumbu erosion.
 
Back
Top Bottom