Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Dah fungus kwa wadada ina sababisha ***K*** kutoa harufuu kama ya maiti
 
Hiyo kitu ni hatari, inatafuna Pumbu sijawahi kuona.

Ila ikiisha pumbu linakuwa jipya kabisa. Linang'aaa alafu soft kinyama. Hahahahaha!...

Unatembea kama umetoka kukatwa. Daah!.

Noma sana, kila siku nilikuwa nikiwasimulia washkaji darasani wananicheka sana, kumbe na wao wanaumwa ila hawataki kusema.

Nimerudi home likizo nikashangaa napona ndani ya wiki tu, kurudi shule mwendo ule ule, ila kuna dawa ukipaka inabidi usiende hata prep, full kujipepea.
 
Dah fungus kwa wadada ina sababisha ***K*** kutoa harufuu kama ya maiti
 
Hatari sn...pumbu hata likigusa paja unalia
[emoji23][emoji23][emoji23] fungus huogi ila Kuna kipindi unasoma usiku lazima mkono kwenye pumbu then hapo tunasema huyo jamaa asomi
 
Ila ni nuksi sana Kulala sharti ujipanue miguu pumbu lipumue
 
TANGA TECHNICAL HIGH SCHOOL, tuaijua vizuri Sana tena kule tupo kwenye Ukanda wa Bahari Aisee, tulipata Shida Sana.
 
p.umbu ngwe!!!, kuna muda assembly watu wanaimba wimbo wa taifa unamkuta mwana nyuma mkono kauingizia kwenye mfuko, anapiga gitaa tu, rahaaaaaa. usicheze na hyo kitu
 
Pumbu erosion kwa kiasi kikubwa ilikuwa inasababishwa na uchafu kwa kutokuoga muda mrefu na kuvaliana nguo. Pumbu zilikuwa zinatoa unga kama uko mashineni.
 
Tuliosoma ukanda wa baridi naona hili halikutukuta. Naona wengi mliosoma maeneo ya joto ndo iliwakuta. Kitaalamu inasababshwa na nini?
 
Hii kitu haina adabu ikiamua kuwasha hata haijari upo na nan lazma ujikune ni full gitaa
 
Pumbu erosion kwa kiasi kikubwa ilikuwa inasababishwa na uchafu kwa kutokuoga muda mrefu na kuvaliana nguo. Pumbu zilikuwa zinatoa unga kama uko mashineni.
Tulikuwa tunaoga kila siku na ndio ugonjwa unazidi maji ndio ilikuwa tatizo
 
Uzuri mmoja pale kwa Kaaya kulikuwa na upepo mwanana unaachia tu kwapa na nyeti zipate upepo
Wewe ile ya pale ilikuwa international ukichanganya na yale maji ambayo ulikuwa ukioga inabid utafute ukuta wa kusugua
 
Back
Top Bottom