Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Ukivaa flana ndani jamaa wanakuvua pasipo kuvua shati .wanaivuta. Hapo ndo utajua. Ukitoka hapo kola ya t shirt haifai inabidi ukaitupe.

Huyo master alinifundisha maths nilikua mtukutu na alikua ananipenda coz i was good in math.na nilimwambia form 4 nitapata A ya math. Na kweli niliipata. A
 
Ukivaa flana ndani jamaa wanakuvua pasipo kuvua shati .wanaivuta. Hapo ndo utajua. Ukitoka hapo kola ya t shirt haifai inabidi ukaitupe.
Mimi nishawahi kupelekwa ofisini na Afande mmoja hivi Kapteni ana macho ya kibangibangi nikaambiwa nivue mbele ya walimu wa jinsia zote halafu sasa kifua kina vinyoya flani hivi nilimind kichizi
 
Umenikumbusha mbali sana au kushukia pale nimekumiss sana ulipotelea wapi
Mi siku ambazo sitaki kutembea nilisogea hadi jaeibu na Lugalo na kupabdia kule kimbembe sasa gari likipita shuleni MP anakagua ukishikwa imekula kwako

.
.
.
Nilipotea tu sababu ya mihabgaiko ya maisha ila siku hizi naibuka mara moja moja na kupita kimya ila hii thread imenigusa
Kama vipi tutafutane PM
 
kuna siku kisonga alituweka had giza pale halaf nilitakiwa siku hiyo kwenda kulala kunduchi nahuko skua nimefika nakumbuka ile nafika kituoni namkuta dada naye ndio anaondoka kwa kunisubiri sana nilipiga kelele akanisbir ikawa pona yangu


Nakuja kwa kweli
 
sasaiv shift moja tu
Kwahiyo lebo ni kijani tu ?
Enzi zangu kulikuwa na Form 1 A hadi G halafu shift mbili

Form 3 na 4 kulikuwa na darasa linaitwa H kama nimekosea walisoma vichwa tu yaani waliokuwa wanaongoza Form 1 hadi 2 kisha waliingia hapo
Hilo darasa ilikuwa ukipata wastani wa 65 unajikuta hata # 20 haupo wakati darasa lingine unaweza kuingia 3 bora
 
Lebo ni ya njano
Kuhusu madarasa nahisi itakua wamepunguza
 
Nasikia Makongo watoto si Rizki walikuwa kibao
 
Duuh ilikuwaga noma sana ila Makongo nilipita juzijuzi kumepoa hata mtaani kuwaona madenti wa Nakongo ni ishu

Akina Hashimu Thabit
Seki
Irene Ngowi n.k walisona pale
 
Duuh ilikuwaga noma sana ila Makongo nilipita juzijuzi kumepoa hata mtaani kuwaona madenti wa Nakongo ni ishu

Akina Hashimu Thabit
Seki
Irene Ngowi n.k walisona pale
Niliwah kuambiwa hivo sasa me kaka ndio alibikabidhisha kwa kisonga yani sitamsahau yule baba
 
Lebo ni ya njano
Kuhusu madarasa nahisi itakua wamepunguza

Ujio wa shule za sekondari za kata uliathiri shule nyingi hata Mbezi Beach ambao walikuwa wanajiona wakishua shule yao imrathirika sana
Siku hizi wanafunzi wameadimika
 
Aisee Senkondo ndio yule jamaa wa misosi au...?. Huyu Afande Master nilimuacha na nyota 2 alikuwa mrembo lakini akikutia mkononi babake, hatari.

Kuna jamaa alikuwa anaitwa Issac tulikuwa nae bweni mshkaji alikuwa DAH acha nisiseme tu mtakuwa mmeshaelewa walengwa.

Ilikuwa ukipelekwa 1MP aisee ukirudi unaambiwa kabisa kapumzike bwenini usiingie class maana kipondo utakachopata pale acha tu.

Namkumbuka Salama Jabir na FILA yake aisee.
 
Nimekumbuka mbali sana Makongo chama langu aise safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…