Wale tuliosoma saana PCMy huwa tunaagana namna hii!

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,251
Reaction score
418
Nakutakia (3g+27)=-3t naona unashangaa nimekutakia nini embu soma vizuri uone
tunavyokokotoa!

NJIA; 3G+27=-3t, Tuna gawanya kwa 3 kila upande:
3G/3+27/3=-3t/3
=G+9+t
JUMLA=G9t
Hivyo Ndivyo TUnavyoagana Wasomi tulobobea KtK Hesabu! Sio Unatuambia G9t Halafu Hautuonyeshi Njia namna gani umeipata!!
 
we msomi nini maana ya G9t?
 
Mmmmhhh makubwa hata kama namba sikuwa mkali kivile ila G+9+t=G9t?????
 
Back
Top Bottom