CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Nakuombea. AmenKikubwa uhai, tuombe Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea. AmenKikubwa uhai, tuombe Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mambo ya jukwaa hayo.Maisha ya jamii forum yanachanganya sana
Wewe juzi tu hapa sii ulisema uko second year au nimekuchanganya
Leo umeshakuwa manager tena kwenye kampuni mbili
We jamaa ndio ulishikwa sehemu nyeti na mkeo?I meant nilipokuwa mwaka wa 2 chuoni kaka. Now nina-approach 31 years.
Hbr yako mdogo wangu??.I meant nilipokuwa mwaka wa 2 chuoni kaka. Now nina-approach 31 years.
Mungu ni mwema siku zoteWanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada...
Aisee!Maisha ya jamii forum yanachanganya sana
Wewe juzi tu hapa sii ulisema uko second year au nimekuchanganya
Leo umeshakuwa manager tena kwenye kampuni mbili
Serikalini kuwa na cheo cha Mkurugenzi wa taasisi au mwenyekiti wa bodi ya taasisi kwa umri wa miaka 31 ni uwongo. Hapa umedanganya mara nyingi Hizo position wanakua nazo senior civil servants au retired government officials.I meant nilipokuwa mwaka wa 2 chuoni kaka. Now nina-approach 31 years.
Yes bro, si uongo. Ni mkurugenzi wa bodi fulani, inawezekana.Hapa kwenye manager wa kampuni ya serikali na pia mkurugenzi wa kampuni nyingine ya serikali umetupiga. Tena na miaka yako 31[emoji23]
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Hapana kaka, ni mkurugenzi wa bodi ndio, naomba niishie hapa tafadhali.Serikalini kuwa na cheo cha Mkurugenzi wa taasisi au mwenyekiti wa bodi ya taasisi kwa umri wa miaka 31 ni uwongo. Hapa umedanganya mara nyingi Hizo position wanakua nazo senior civil servants au retired government officials.
Na wewe umeshtuka kama mimi [emoji1787][emoji1787]Hapa kwenye manager wa kampuni ya serikali na pia mkurugenzi wa kampuni nyingine ya serikali umetupiga. Tena na miaka yako 31[emoji23]
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Safi tu kaka, tunakumbushana misoto hapa.Hbr yako mdogo wangu??.
Yes, ila si mahali pake kwa sasa.We jamaa ndio ulishikwa sehemu nyeti na mkeo?
Hakuna Mkurugenzi wa bodi ya taasisi ya serikali mwenye miaka 31 nchi hii.Yes bro, si uongo. Ni mkurugenzi wa bodi fulani, inawezekana.
Haiwezekani seniority inakataa mdogowangu.Yes bro, si uongo. Ni mkurugenzi wa bodi fulani, inawezekana.
Hapana, si manager at both companies, ni man. sehemu moja, nyingine ni mkurugenzi tu wa bodi, si wa kudumu.Hii inaweza kuwa kweli katoboa na hela ya mboga anayo..
Lkn ishu ya kuwa manager kwny makampuni mawili ya serikali imenibdi nione Kama chai ya Buza..labda atuambie chuo amemaliza mwaka gani