Wale tuliotoka familia masikini na tukatusua kimaisha tukutane hapa

Wewe si umevutwa pumbuu na mkeo, mbona umejisahau sasa kuwa ulitakiwa uwe katika maumivu makali
 
hongera mkulungwa1
 
Pumbu zinaendeleaje Mkuu? Umeshatest mashine kwa mkeo kwa kumtoo baada ya kutaka kukuua kwa kuziminya?

 
Masikini akipata..hulia mbwata.

Acha vitendo vijidhihirishe na siyo maneno mengi.

Cheo ni dhamana,umetusua kiuchumi,je kijamii?

Kutusua kuna maana pana sana.
 
Ila kufanikiwa ni dhana pana sana.
Kuna siku tulikuwa wawili tulikuwa tunamfanyia kazi jamaa fulani. Baada ya kukamilisha tukawa tunataka atupe bank statement ya miezi mitatu, ikabidi twende wote CRDB ile ipo Ohio ili nirudi na statement.

Kwanza tunafika pale mhudumu akasema nyie piteni moja kwa moja ndani kuule! nikajua leo nipo na mtu mzito! tukakaribishwa tukakaa, jamaa akaendelea kuhudumiwa huku mimi nachat na simu.

Dakika chache baadae jamaa akanikabidhi kitabu anasema tuondoke.
Nikamuuliza sasa bank statement inakuwaje? akanambia ndio hiyo niliyokupa!

Sasa huyo jamaa anachonishangaza anasemaga eti maisha magumu hajafanikiwa bado, wakati miezi mitatu yote hajatoa hata mia kwenye akaunti yake na mamilioni yanaingia kila siku kwa akaunti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…