Samahani naomba uliza maswali Machache!!
Chuo umemaliza na miaka mingapi kaka sasa hivi una 31!
At lever ya Manager kampuni nyingi sana salary scale zao huwezi vuka 5M na hapo ni zile international,labda iwe kampuni ya gumashi amabayo inakwepa mambo mengi sana serikalini! Nina mtu wangu anafanya kampuni x analipwa 15M, lakini kampuni inaendesha kimagumashi kweli kweli,hawezi hata apply skills kwenye kazi yake,he is not comfortable,MD anasema hili,mtoto wa MD nae anasema hili,Baba yake MD anasema hili,Mdogo wake MD anasema hili,kaka yake MD anasema hili! Maana yake hapa ni shamba la Bibi,beba pesa mapema kabla wenye mali,hawajakuchoka!
Mbili kwa huo umri wako,unaweza kua kwenye Bodi members ya shirika lolote la Serikali kweli?? Una uzoefu gani hadi uwe huko??
Yaani uwe Manager kwenye shirika x la serikali,the same time uwe MD kwenye Shirika jingine la serikali?? Kwan wewe unafanya kazi kwenye serikali mbili tofauti?? Huwezi kua na hizo post mbili kwenye serikali moja,labda ungesema wewe ni Polisi,the same time ni mwana eagle, Acha chai bwana! Mashirika mengi ya serikali yanayotumia SU hua yana Director General (DG) na Sio Managing Director (MD) kama unavyosema wewe!
Kama umeamua kupiga Kamba na story zakijiweni sawa! Kua Bodi member wa shirika la serikali sio kazi ndogo,ni kazi kweli kweli!