Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Nini kujua mji bana!!!

Watu tumeijua Tanzania kisa totoz!!!

Dar tulishaimaliza zamani sana.

Majuzi tu hapa nimetembelea Kinyantira huko.

Mwezi ujao naenda kusini.....Mtwara hoyeeeee!

Nikitoka huko naenda Msanga.....

Nikitoka Msanga naenda Iringa mjini kwa Adella.....huyu nilikutanaga naye pale Al Jazeera....kwa waliowahi kwenda Iringa kwa basi watapajua hapo ni wapi.
 
Aiseee...uko vizuri...kuna siku nilienda Tanga. Lengo lilikuwa niende nirudi....hio siku ndio nilijua 'waja leo waondoka leo maanake nini'......nitamalizia haka ka stori!
 
Aiseee...uko vizuri...kuna siku nilienda Tanga. Lengo lilikuwa niende nirudi....hio siku ndio nilijua 'waja leo waondoka leo maanake nini'......nitamalizia haka ka stori!

Kahama nayo iko kwenye radar.....

Kuna former Miss Bariadi mmoja yupo huko.

Ushafika Kahama?

Halafu kuna mmoja hivi anatokea Maswa...huyu huwaga nahisi yupo humu JF.

Uraiani anaitwa Bridget. Huku JF ni rafiki wa Shualina.....

So Maswa is on my radar too. Nikitoka Maswa naenda Ng’wamapalala.....
 
Salute...im an amatuer!
 
Dah na mimi nilienda hapo Maramba 2 nikitokea Gomz.Nikafikia pale magengeni nikaanza kuwafunga draft wakati namsubiri Nourat.Siku hiyo nilit.mba kama kichaa
Aisee...!
 
Dar nazijua sehemu chache... Tanga ndipo napopajua zaidi hata ya Arusha. ila sio watoto wa kike....

Mimi ni mtu wa ndani saana. Nyie viwembe hatuwawezi bhana unatoka kwenu Masaki unawafuata watoto kwa Dampo????

Uzuri ni kwamba watoto wa vigogo si wazuri na binafsi sijawahi kuona mtoto wa kiongozi yeyote hapa Tanzania ambaye ni mzuri....karibia ya wote wana sura za kulamba mbilimbi na limau. Mademu wa uhakika wapo uswahilini hili hata vigogo wanajuwa labda wewe tu kwa ubishi wako.
 
Back
Top Bottom