Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Yombo kigilagila ina shida gani? Kuna mtu nilipita naye ananiambia tangu alipofika huko miaka ya 2000 hakujabadilika
Juzi nimefika Yombo Matangini. Ilubidi niishie relini kuvuks hizo reli nimeambiwa utazunguka sana.
 
Hio ndio pussy power
Dah...si utani mkuu...nilienda Kijiji cha mbele huko...bajeti niliyotumia ningeweza kutalii pale Rozana kila siku kwa miaka 15 ...Nikajishangaa Sana..... Kweli tusimlaumu Adam kabisa...hii kitu ni hatari aisee..[emoji85]
 
Nilienda mji fulani kisa pu!!y, yaani 4hrs ili tu nikale ule utamu, pumbaffff. Ujana maji ya moto!!!
 
Mimi huwa sikuwa nazifata nilikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi zinifate mm na zote zilikuwa zinanifata kokote
 
Back
Top Bottom