agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Tujaribu basi labda nitatoa gundu.Ah itakuwa nimekufananisha.
ππππmuuza supu aandae pilipili na ndimu tu.Mbuzi anataka kufia kwa muuza supu...ππ
Aiseee...uko vizuri...kuna siku nilienda Tanga. Lengo lilikuwa niende nirudi....hio siku ndio nilijua 'waja leo waondoka leo maanake nini'......nitamalizia haka ka stori!Nini kujua mji bana!!!
Watu tumeijua Tanzania kisa totoz!!!
Dar tulishaimaliza zamani sana.
Majuzi tu hapa nimetembelea Kinyantira huko.
Mwezi ujao naenda kusini.....Mtwara hoyeeeee!
Nikitoka huko naenda Msanga.....
Nikitoka Msanga naenda Iringa mjini kwa Adella.....huyu nilikutanaga naye pale Al Jazeera....kwa waliowahi kwenda Iringa kwa basi watapajua hapo ni wapi.
Aiseee...uko vizuri...kuna siku nilienda Tanga. Lengo lilikuwa niende nirudi....hio siku ndio nilijua 'waja leo waondoka leo maanake nini'......nitamalizia haka ka stori!
Salute...im an amatuer!Kahama nayo iko kwenye radar.....
Kuna former Miss Bariadi mmoja yupo huko.
Ushafika Kahama?
Halafu kuna mmoja hivi anatokea Maswa...huyu huwaga nahisi yupo humu JF.
Uraiani anaitwa Bridget. Huku JF ni rafiki wa Shualina.....
So Maswa is on my radar too. Nikitoka Maswa naenda Ngβwamapalala.....
Dah na mimi nilienda hapo Maramba 2 nikitokea Gomz.Nikafikia pale magengeni nikaanza kuwafunga draft wakati namsubiri Nourat.Siku hiyo nilit.mba kama kichaaJuzi tu nmeenda maramba mawili kwa sababu ya mwanamke wakat narudi ndio nikaanza kujilaumu
Dah na mimi nilienda hapo Maramba 2 nikitokea Gomz.Nikafikia pale magengeni nikaanza kuwafunga draft wakati namsubiri Nourat.Siku hiyo nilit.mba kama kichaa
Karibia utapata PhD ya totoz mkuu well done
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Nimekumiss
Hahaha unasemaje vile?Sijapata bado..sijui Nina gunduπ
@Habuba kwani utamu wa papuchi ni nini hasa? Yaani kitu gani kinachoonesha kuwa hii papuchi ni tamu kuliko nyingine?[emoji848]
Dar nazijua sehemu chache... Tanga ndipo napopajua zaidi hata ya Arusha. ila sio watoto wa kike....
Mimi ni mtu wa ndani saana. Nyie viwembe hatuwawezi bhana unatoka kwenu Masaki unawafuata watoto kwa Dampo????
Nipo njiani [emoji23]Kama nilivyoandikaπ±π±