Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Sio siri mimi jiji hili la Makonda nimezijua sehemu nyingi kwasababu ya kufuatilia papuchi. Pamoja na kuzaliwa mji huu ila kuna sehemu kama sio totoz nisingefika maana hamna sababu yoyote. Totoz zimesababisha nimepajua Chamazi,Mbagala,KitundaMwanagati,Bomu bomu,Yombo Dovya na sehemu kibao ambazo kiukweli nisingefika huko!

Kali siku moja nimeopoa mtoto baada ya kujirusha ikabidi nimrudishe kwao usiku mkubwa, tukaingia mitaa ya kati huko Karakata ndani ndani huko. Baada ya kumshusha wakati narudi ilinichukua kama nusu saa kuipata main road maanake nilipoteza ramani kabisa bahati nzuri kuna gari ikatokea nikasimamisha jamaa akaniambia nifuate nyuma!
Papuchi ya mwana JamiiForums ilinipeleka Parakuyo Kilosa
 
Ujue hata hufananii na kuujua mji... wewe wa kufunzwa vya ndani.
Yote kwa yote kuujua mji ni muhimu, tena natafuta mtu wa kunipeleka jijini Daslam, Arusha, Mwanza na Mbeya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukifikiria papuchi mpya unakuwa unawaza kuwa itakuwa tamu kuliko zote ulizowahi kukutana nazo au ndo 'kipya kinyemi japo kidonda'
Na kuzoom
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukifikiria papuchi mpya unakuwa unawaza kuwa itakuwa tamu kuliko zote ulizowahi kukutana nazo au ndo 'kipya kinyemi japo kidonda'
Papuchi mpya kwakweli na hamu ya kuitafuna inaongezeka
 
Ujue papuchies zina radha tofauti tofauti zingine hazina radha, sasa ntaachaje kwenda makilomita kufuata papuchi tamu zaidi nayoitaka
@Habuba kwani utamu wa papuchi ni nini hasa? Yaani kitu gani kinachoonesha kuwa hii papuchi ni tamu kuliko nyingine?[emoji848]
 
Back
Top Bottom