The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi.
1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi classic nikalipa 25, nikarudi hostel nikawa na msubiria, sa 12 imefika hajafika bado but anasema nakuja subiri, sa moja sa mbili ananiambia nakuja nikaenda hapo lodge full nimejipanga nimesubiri weeee baadae sim haipatikani tena, nikaamua kwenda njee kunywa bia, nikarudi ndani, nikamuomba muhudumu anirudishie angalau ata 15 kwa kua chumba hakijatumika akagoma kabisa nikaingia ndani nikafungulia maji bomba zote, tena maji ya moto, washa tv kwa sauti, na kulala kitandani na viatu. (25 upo chuo unapiga pasi ndefu ili ubane matumizi)
2.Huyu wa pili nilimtumia na nauli 10,000/= enzi hizo kikao cha wanaume kupinga tuma nauli bado hakijafanyika. Akaniahidi anakuja na atalala nikachukua room, 20,000/ muda umefika uko wapi?? nakuja subiri, nakuja subiri mpaka giza limeingia nakuja nimefika mahali fulani, sa 3 nakuja sa 4 usiku simu haipatikani. Kufidia hasara nikasema ngoja niende opoa hata bar maid, aisee nika kutana na barmaid mmoja nikampanga, ile tunaenda room kumbe barmaid anakikohozi balaa nikamtimua aisee, hata siku gegeda ikabidi nilale na beer, na kvant tuu.
Ya tatu nitamalizia siku nyingine. Ila wakuu hii kitu huwa inauma sana alafu wamiliki wa lodge au guest hawakurudishii hela, mm huwa nawakomoa kivyangu kwa kufungulia maji koki zote, washa ac, washa tv sauti kubwa, hata muda mwingine kulala na viatu.
Baadae panapomajaliwa nitawasimulia kisa cha kuibiwa simu lodge,