Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Watu hamna kinyaa
 
Hahahahhahahha dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bana wanawake wanaakili nyingi sana pindi umefumaniwa huwa hawapanic kama wanaume. Game ilianza muda wa saa mbili ucku beki 3 wa jirani yuko home peke yake nyumba ni gorofa moja, ile tu nimeingia ndani tunataka kuanza mechi mlango unagongwa, Kuchek ni boss wake amerud. Kwanza mashine ilisinyaa ikawa kama haipo kbsa nyege zote zilikimbilia kwenye uti wa mgongo. Kule ndani sasa nikafichwa Chumba cha beki 3 kiko karibu na choo cha ndani. Huyu boss akawa anapita kwenda choon wakat nimejibanza nyuma ya mlngo ile tu anapita nikasikia anasema mbona hujafunga mlngo na mbu wanaingia?huku anavuta mlango kwa nje ili aufunge yaan nikajikuta napanwa na haja ndgo kwa uoga.
Basi akapita kwend chooni alipofunga tu mlngo wa choo nikatoka spidi kumbe dem tyri alifungua mlngo wa kutoka nje nilifika pale ckupunguza spidi kama yale magari kwenye msafara wa jpm. Zile ngaazi nilikuwa naruka kama nne nne hivi mpka kufika chini.
Sikutaka kumrudia kbsa yule dem ikawa nikikutane Naye anacheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe aujafumaniwaaa mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhahhah
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna fumanizi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
Aiseeeeee unaweza tamani uwe nzi ili upae hewani upotee..... Halafu mbaya zaidi unamuomba big mkubwa msamaha hajibu kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kwa nguvu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁
 
Duh, Habari za Kufumaniwa zisikie kwa wenzio. Ni balaa

Binafsi enzi hizo Ndo balehe imepamba Moto, Harakati za kuwa mastaa wa Bongo fleva Ndo ukawa plan zetu.

Tulikua na kigrupu uchwala Cha Masharobaro wa Kitaa washakaji watano.

Kupendeza sana, kuimba Sana na kutokea viwanja vikali na kushindana kuopoa mademu wakali Ndo zilikua zetu.

Sasa kulikua na mchuano mkali wa Kutafta sifa za Mademu wangapi Wakali umegonga na Kati ya hao ulowatoa bikra Ni wangapi.

Basi ikitokea umemtoa demu bikra tena mrembo sana, Basi Ndo tayari unakua ushajihakikishia kua uyo Ni himaya yako, hatakiwi muhuni yeyote kutia maguu Wala kumshobokea tena.

Ila Ni Lazima uonyeshe kwanza ushahidi kwa washkaji ili WASHKAJI WAAMINIE, Salute kibao wakupigie.

Basi wikendi moja, Tuko club.
Kuna mtoto mmoja mrembo Sana nikapata KUCHEZA nae,

Baada ya mda, Mtoto akasema anaomba aende Kwao, Anajiskia haja kwenda haja Kubwa.
Nkamwambia usipate Tabu. Nyumbani sio mbali.
Twenzetu ukatumie choo Cha nyumbani.

Nkajiamini maana kipind hicho mama kaenda msibani, na mzee Yuko safar kikazi.

Kwahiyo ufunguo na uhuru wote ninao.

Kufika nyumbani,
Nkampapasa Mtoto kalainika. Nkavua penzi na chupi nkabakisha shati tu na kuanza KULA mzigo.

Uku dogo akilalamika Sana kua naumuumiza na Ndo mala yake ya kwanza.

Sikujali kelele zake nkajilia tu tunda.

Ile nmemaliza tu, Nawasha taa nkaona damu kibao zimetapakaa maeneo ya tumboni kwenye shati nililovaa.

Dah! Kidume nkajiona nshaitoa bikra na kwa damu zile Lazima nkawatambie washkaji.

Fasta fasta, nkajisemea
"Aisee huku nasubir kupiga Cha pili, Ni lazima nikamtambie kwanza mwana kua yule Mtoto nmemtoa bikra"

Nkamwambia dogo nisubiri mara moja.

Nkatoka bila kunawa kuelekea kwa mshkaji wangu nikampe hizi habar njema.

Nakatiza tu mtaani, pembeni Kuna glosari nkaskia Sauti ya Baba.
"Wee DeepPond, unaenda wapi usiku huu"

Duh! Nlijihisi kunyeshewa mvua ghafla.

Kugeuka nkaona Ni kweli Ni baba ananiita, Yuko na wanzie wanne wamezunguka meza wanapiga bia.

Nkajibu. " Naenda Dukani kununua Sabuni"

Baba: "Hebu njoo uchukue hii mboga nyumbani"

Mimi: sawa baba.

Nkasogea alipo baba.

Ghafla nkasikia mzee mmoja ananigusa.
" Wee Mtoto, mbona unadamu nyingi. Umepatwa na nini."

Kwa kiwewe nkajibu,
"Nimejikwaa nkavuja kidole, kwahyo rafiki yangu akawa anatumia shati langu kunifuta"

Mmh! Wazee wakaguna.

Mzee mmoja akadakia.
" Hebu tuinyeshe hicho kidole"

Duh, nkaona hapa pa Moto.

Kwa kiwewe nkabadilisha ile sentensi ya mwanzo.

Nkajitetea
"Hapana sio kidole changu Mimi kilichoumia, Ni kidole Cha rafiki yangu kaumia Ndo Nlkua Nampa HUDUMA ya kwanza."

"Kwahiyo apa Ndo nilikua naenda kununua Sabuni nimalizie kumsafisha nmemwacha nyumbani"

Mzee mmoja akadakia,
"Hapa Baba Deep inabidi utangulie nyumbani na uyu Dokta (mwenzao mmoja alikua doctor by profession) muone mtamsaidiaje uyo mwenzie, Afu wee endelea na Safari yako kalete iyo Sabuni."

Nkasema poa,
Nilipotoka pale fasta nkarudi home na kumwambia binti vaa fasta usepe mzee anafika mda SI mrefu.

Ile nmemshikia binti viatu, binti mwenyewe Ndo anamalizia kufunga vifungo vya blauzo tunatoka Ndo nafungua mlango kutokea sebleni.

USO KWA USO NA BABA MZAZI AKIWA NA YULE MWENZIE DOKTA.

Duh! Niliishiwa nguvu kabisa.

Mzee akauliza
"Huko ndo ulikoenda kufata sabuni?"

Sijajibu, Dokta nae akamuuliza binti...
"Wee ndo uliumia kidole Cha mguu?"

Binti akasema "Hapana"

Mzee akasema "hebu wote turudi ndani"

Dokta akasema "Haina haja, wee binti potea haraka Sana eneo hili. Halafu wee DeepPond Rudi ndani haraka Sana"

Nikarudi ndani fasta, binti akaenda nkawaacha mzee na Dokta kibarazani wanajadili.

Baada ya mda,
Mzee akarudi ndani na kunifungia kwa ndani Kisha yeye akaondoka pamoja na Dokta.

Midaya saa 8 usiku mzee karudi,

Akaniita sebleni akiwa na mwanzi wa maana.

Akasema
"Mwanangu umenitia aibu, mwanangu umenidharirisha.
Mwanangu umeitia familia yetu katika mikosi"

"Kutokana na maelezo ya yule Dokta inaonekana zile damu zimetokana na wewe kufanya mapenzi na mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake."

Akanambia
"Sina mengi ya kuongea, naomba ulale kifudi fudi na mikono yako iweke nyuma"

Kisha mzee akanifunga miguu na mikono na kunining'iniza sebleni juu ya dari KICHWA chini miguu juu (nyumba haikua na Ceiling board)

Aisee nilikula stiki za kutosha mpaka adhana ya alfajiri ndo kaenda kulala.

Baada ya siku kadhaa kupita nakutana na yule binti anakiri kabisa kua
"nikweli siku ile nilikua blidi"

Dah! NILIUMIA SANA,

Aisee, SITOSAHAU kabisa jinsi zile Tambo za kutoa bikra zilivonitokea puani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…