Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3577][emoji3577][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bby siku hz umeanza kunisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea mwenzio nawaza HELSB walichonfanyia mmmh, hebu nitumie lak 3 kwan maan nna hali mbaya.
 
Mimi niliingia kwenye tenga la nguo chafu demu akafunika na mfuniko baadaye kazi kazini...
 
Naona huu uzi ukishika kasi kama ule uzi wa "kula tunda kimasihara".

Leteni burudani.
 
Binafsi mimi nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo. Sasa siku moja ya Jumamosi wife yeye akiwa ameenda ofisini kwake nikakaita kaje nyumbani, alivyokuja nikamgegedea kwenye chumba cha housegirl, yeye pia hakuwepo. Mara paap! nasikia geti linagongwa, kuchungulia ni wife. Nilimchukuwa yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti.

Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie housegirl (ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo). Wife alichukuwa document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mimi nikaendelea na mgegedo.

Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa.
Epic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea mwenzio nawaza HELSB walichonfanyia mmmh, hebu nitumie lak 3 kwan maan nna hali mbaya.
Sawa tu niktumie Kwa njia ipi?
Ila nikikutumia ndo ujue unakua mkewangu Ile real zaidi ya saiv ingawa tuko real[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa bby[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh, Habari za Kufumaniwa zisikie kwa wenzio. Ni balaa

Binafsi enzi hizo Ndo balehe imepamba Moto, Harakati za kuwa mastaa wa Bongo fleva Ndo ukawa plan zetu.

Tulikua na kigrupu uchwala Cha Masharobaro wa Kitaa washakaji watano.

Kupendeza sana, kuimba Sana na kutokea viwanja vikali na kushindana kuopoa mademu wakali Ndo zilikua zetu.

Sasa kulikua na mchuano mkali wa Kutafta sifa za Mademu wangapi Wakali umegonga na Kati ya hao ulowatoa bikra Ni wangapi.

Basi ikitokea umemtoa demu bikra tena mrembo sana, Basi Ndo tayari unakua ushajihakikishia kua uyo Ni himaya yako, hatakiwi muhuni yeyote kutia maguu Wala kumshobokea tena.

Ila Ni Lazima uonyeshe kwanza ushahidi kwa washkaji ili WASHKAJI WAAMINIE, Salute kibao wakupigie.

Basi wikendi moja, Tuko club.
Kuna mtoto mmoja mrembo Sana nikapata KUCHEZA nae,

Baada ya mda, Mtoto akasema anaomba aende Kwao, Anajiskia haja kwenda haja Kubwa.
Nkamwambia usipate Tabu. Nyumbani sio mbali.
Twenzetu ukatumie choo Cha nyumbani.

Nkajiamini maana kipind hicho mama kaenda msibani, na mzee Yuko safar kikazi.

Kwahiyo ufunguo na uhuru wote ninao.

Kufika nyumbani,
Nkampapasa Mtoto kalainika. Nkavua penzi na chupi nkabakisha shati tu na kuanza KULA mzigo.

Uku dogo akilalamika Sana kua naumuumiza na Ndo mala yake ya kwanza.

Sikujali kelele zake nkajilia tu tunda.

Ile nmemaliza tu, Nawasha taa nkaona damu kibao zimetapakaa maeneo ya tumboni kwenye shati nililovaa.

Dah! Kidume nkajiona nshaitoa bikra na kwa damu zile Lazima nkawatambie washkaji.

Fasta fasta, nkajisemea
"Aisee huku nasubir kupiga Cha pili, Ni lazima nikamtambie kwanza mwana kua yule Mtoto nmemtoa bikra"

Nkamwambia dogo nisubiri mara moja.

Nkatoka bila kunawa kuelekea kwa mshkaji wangu nikampe hizi habar njema.

Nakatiza tu mtaani, pembeni Kuna glosari nkaskia Sauti ya Baba.
"Wee DeepPond, unaenda wapi usiku huu"

Duh! Nlijihisi kunyeshewa mvua ghafla.

Kugeuka nkaona Ni kweli Ni baba ananiita, Yuko na wanzie wanne wamezunguka meza wanapiga bia.

Nkajibu. " Naenda Dukani kununua Sabuni"

Baba: "Hebu njoo uchukue hii mboga nyumbani"

Mimi: sawa baba.

Nkasogea alipo baba.

Ghafla nkasikia mzee mmoja ananigusa.
" Wee Mtoto, mbona unadamu nyingi. Umepatwa na nini."

Kwa kiwewe nkajibu,
"Nimejikwaa nkavuja kidole, kwahyo rafiki yangu akawa anatumia shati langu kunifuta"

Mmh! Wazee wakaguna.

Mzee mmoja akadakia.
" Hebu tuinyeshe hicho kidole"

Duh, nkaona hapa pa Moto.

Kwa kiwewe nkabadilisha ile sentensi ya mwanzo.

Nkajitetea
"Hapana sio kidole changu Mimi kilichoumia, Ni kidole Cha rafiki yangu kaumia Ndo Nlkua Nampa HUDUMA ya kwanza."

"Kwahiyo apa Ndo nilikua naenda kununua Sabuni nimalizie kumsafisha nmemwacha nyumbani"

Mzee mmoja akadakia,
"Hapa Baba Deep inabidi utangulie nyumbani na uyu Dokta (mwenzao mmoja alikua doctor by profession) muone mtamsaidiaje uyo mwenzie, Afu wee endelea na Safari yako kalete iyo Sabuni."

Nkasema poa,
Nilipotoka pale fasta nkarudi home na kumwambia binti vaa fasta usepe mzee anafika mda SI mrefu.

Ile nmemshikia binti viatu, binti mwenyewe Ndo anamalizia kufunga vifungo vya blauzo tunatoka Ndo nafungua mlango kutokea sebleni.

USO KWA USO NA BABA MZAZI AKIWA NA YULE MWENZIE DOKTA.

Duh! Niliishiwa nguvu kabisa.

Mzee akauliza
"Huko ndo ulikoenda kufata sabuni?"

Sijajibu, Dokta nae akamuuliza binti...
"Wee ndo uliumia kidole Cha mguu?"

Binti akasema "Hapana"

Mzee akasema "hebu wote turudi ndani"

Dokta akasema "Haina haja, wee binti potea haraka Sana eneo hili. Halafu wee DeepPond Rudi ndani haraka Sana"

Nikarudi ndani fasta, binti akaenda nkawaacha mzee na Dokta kibarazani wanajadili.

Baada ya mda,
Mzee akarudi ndani na kunifungia kwa ndani Kisha yeye akaondoka pamoja na Dokta.

Midaya saa 8 usiku mzee karudi,

Akaniita sebleni akiwa na mwanzi wa maana.

Akasema
"Mwanangu umenitia aibu, mwanangu umenidharirisha.
Mwanangu umeitia familia yetu katika mikosi"

"Kutokana na maelezo ya yule Dokta inaonekana zile damu zimetokana na wewe kufanya mapenzi na mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake."

Akanambia
"Sina mengi ya kuongea, naomba ulale kifudi fudi na mikono yako iweke nyuma"

Kisha mzee akanifunga miguu na mikono na kunining'iniza sebleni juu ya dari KICHWA chini miguu juu (nyumba haikua na Ceiling board)

Aisee nilikula stiki za kutosha mpaka adhana ya alfajiri ndo kaenda kulala.

Baada ya siku kadhaa kupita nakutana na yule binti anakiri kabisa kua
"nikweli siku ile nilikua blidi"

Dah! NILIUMIA SANA,

Aisee, SITOSAHAU kabisa jinsi zile Tambo za kutoa bikra zilivonitokea puani.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi mimi nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo. Sasa siku moja ya Jumamosi wife yeye akiwa ameenda ofisini kwake nikakaita kaje nyumbani, alivyokuja nikamgegedea kwenye chumba cha housegirl, yeye pia hakuwepo.

Mara paap! nasikia geti linagongwa, kuchungulia ni wife. Nilimchukuwa yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti.

Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie housegirl (ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo). Wife alichukuwa document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mimi nikaendelea na mgegedo.

Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa.
Kisa kingine kabla sijaoa nilimpeleka geto mchepuko wangu, sikuwa nimejipanga kumpeleka geto hivyo sikuandaa mazingira rafiki. Mara tu tulipofika kuingia tuu chumbani mara paap anakutana na baadhi ya nguo za kike na viatu vya kike vya bby mama. Akaanza kuvimba na kuanza kunibania mgegedo kuwa mm nina mademu wengi, kilichomshangaza zaidi ni wingi wa kondom nilizokuwa nazo akawa aki connect na hizo nguo na viatu anaona kabisa mm ni mtu wa totoz, akanibania mgegedo mpaka nika mind ndio akanipa . Ila alilalamika sana. Kokote alipo nampa pole sana
 
Duh, Habari za Kufumaniwa zisikie kwa wenzio. Ni balaa

Binafsi enzi hizo Ndo balehe imepamba Moto, Harakati za kuwa mastaa wa Bongo fleva Ndo ukawa plan zetu.

Tulikua na kigrupu uchwala Cha Masharobaro wa Kitaa washakaji watano.

Kupendeza sana, kuimba Sana na kutokea viwanja vikali na kushindana kuopoa mademu wakali Ndo zilikua zetu.

Sasa kulikua na mchuano mkali wa Kutafta sifa za Mademu wangapi Wakali umegonga na Kati ya hao ulowatoa bikra Ni wangapi.

Basi ikitokea umemtoa demu bikra tena mrembo sana, Basi Ndo tayari unakua ushajihakikishia kua uyo Ni himaya yako, hatakiwi muhuni yeyote kutia maguu Wala kumshobokea tena.

Ila Ni Lazima uonyeshe kwanza ushahidi kwa washkaji ili WASHKAJI WAAMINIE, Salute kibao wakupigie.

Basi wikendi moja, Tuko club.
Kuna mtoto mmoja mrembo Sana nikapata KUCHEZA nae,

Baada ya mda, Mtoto akasema anaomba aende Kwao, Anajiskia haja kwenda haja Kubwa.
Nkamwambia usipate Tabu. Nyumbani sio mbali.
Twenzetu ukatumie choo Cha nyumbani.

Nkajiamini maana kipind hicho mama kaenda msibani, na mzee Yuko safar kikazi.

Kwahiyo ufunguo na uhuru wote ninao.

Kufika nyumbani,
Nkampapasa Mtoto kalainika. Nkavua penzi na chupi nkabakisha shati tu na kuanza KULA mzigo.

Uku dogo akilalamika Sana kua naumuumiza na Ndo mala yake ya kwanza.

Sikujali kelele zake nkajilia tu tunda.

Ile nmemaliza tu, Nawasha taa nkaona damu kibao zimetapakaa maeneo ya tumboni kwenye shati nililovaa.

Dah! Kidume nkajiona nshaitoa bikra na kwa damu zile Lazima nkawatambie washkaji.

Fasta fasta, nkajisemea
"Aisee huku nasubir kupiga Cha pili, Ni lazima nikamtambie kwanza mwana kua yule Mtoto nmemtoa bikra"

Nkamwambia dogo nisubiri mara moja.

Nkatoka bila kunawa kuelekea kwa mshkaji wangu nikampe hizi habar njema.

Nakatiza tu mtaani, pembeni Kuna glosari nkaskia Sauti ya Baba.
"Wee DeepPond, unaenda wapi usiku huu"

Duh! Nlijihisi kunyeshewa mvua ghafla.

Kugeuka nkaona Ni kweli Ni baba ananiita, Yuko na wanzie wanne wamezunguka meza wanapiga bia.

Nkajibu. " Naenda Dukani kununua Sabuni"

Baba: "Hebu njoo uchukue hii mboga nyumbani"

Mimi: sawa baba.

Nkasogea alipo baba.

Ghafla nkasikia mzee mmoja ananigusa.
" Wee Mtoto, mbona unadamu nyingi. Umepatwa na nini."

Kwa kiwewe nkajibu,
"Nimejikwaa nkavuja kidole, kwahyo rafiki yangu akawa anatumia shati langu kunifuta"

Mmh! Wazee wakaguna.

Mzee mmoja akadakia.
" Hebu tuinyeshe hicho kidole"

Duh, nkaona hapa pa Moto.

Kwa kiwewe nkabadilisha ile sentensi ya mwanzo.

Nkajitetea
"Hapana sio kidole changu Mimi kilichoumia, Ni kidole Cha rafiki yangu kaumia Ndo Nlkua Nampa HUDUMA ya kwanza."

"Kwahiyo apa Ndo nilikua naenda kununua Sabuni nimalizie kumsafisha nmemwacha nyumbani"

Mzee mmoja akadakia,
"Hapa Baba Deep inabidi utangulie nyumbani na uyu Dokta (mwenzao mmoja alikua doctor by profession) muone mtamsaidiaje uyo mwenzie, Afu wee endelea na Safari yako kalete iyo Sabuni."

Nkasema poa,
Nilipotoka pale fasta nkarudi home na kumwambia binti vaa fasta usepe mzee anafika mda SI mrefu.

Ile nmemshikia binti viatu, binti mwenyewe Ndo anamalizia kufunga vifungo vya blauzo tunatoka Ndo nafungua mlango kutokea sebleni.

USO KWA USO NA BABA MZAZI AKIWA NA YULE MWENZIE DOKTA.

Duh! Niliishiwa nguvu kabisa.

Mzee akauliza
"Huko ndo ulikoenda kufata sabuni?"

Sijajibu, Dokta nae akamuuliza binti...
"Wee ndo uliumia kidole Cha mguu?"

Binti akasema "Hapana"

Mzee akasema "hebu wote turudi ndani"

Dokta akasema "Haina haja, wee binti potea haraka Sana eneo hili. Halafu wee DeepPond Rudi ndani haraka Sana"

Nikarudi ndani fasta, binti akaenda nkawaacha mzee na Dokta kibarazani wanajadili.

Baada ya mda,
Mzee akarudi ndani na kunifungia kwa ndani Kisha yeye akaondoka pamoja na Dokta.

Midaya saa 8 usiku mzee karudi,

Akaniita sebleni akiwa na mwanzi wa maana.

Akasema
"Mwanangu umenitia aibu, mwanangu umenidharirisha.
Mwanangu umeitia familia yetu katika mikosi"

"Kutokana na maelezo ya yule Dokta inaonekana zile damu zimetokana na wewe kufanya mapenzi na mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake."

Akanambia
"Sina mengi ya kuongea, naomba ulale kifudi fudi na mikono yako iweke nyuma"

Kisha mzee akanifunga miguu na mikono na kunining'iniza sebleni juu ya dari KICHWA chini miguu juu (nyumba haikua na Ceiling board)

Aisee nilikula stiki za kutosha mpaka adhana ya alfajiri ndo kaenda kulala.

Baada ya siku kadhaa kupita nakutana na yule binti anakiri kabisa kua
"nikweli siku ile nilikua blidi"

Dah! NILIUMIA SANA,

Aisee, SITOSAHAU kabisa jinsi zile Tambo za kutoa bikra zilivonitokea puani.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kisa kingine kabla sijaoa nilimpeleka geto mchepuko wangu, sikuwa nimejipanga kumpeleka geto hivyo sikuandaa mazingira rafiki. Mara tu tulipofika kuingia tuu chumbani mara paap anakutana na baadhi ya nguo za kike na viatu vya kike vya bby mama. Akaanza kuvimba na kuanza kunibania mgegedo kuwa mm nina mademu wengi, kilichomshangaza zaidi ni wingi wa kondom nilizokuwa nazo akawa aki connect na hizo nguo na viatu anaona kabisa mm ni mtu wa totoz, akanibania mgegedo mpaka nika mind ndio akanipa . Ila alilalamika sana. Kokote alipo nampa pole sana
maisha ya ndoa vipi?
 
Sintosahau nimeenda dar,hio nyumba niliofkia kuna binti yao,alitokea kunipenda saana.
Siku moja akanambia leo uje chumbani kwangu,nikamwitikia tu,kisha nikampotezea,
Mtoto alinimaind saana siku ya pili yake,ikapita kama siku 3 akanambia leo usiache kuja chumbani kwangu,nikambia poa
Siku hio nikategea ngoma nane usiku nikajua nyumba nzima washalala mwanaume nikajitosa,kibaya zaidi vyumbq vyote vya ndani na mlango wankutokra ni mmoja tu.
Yaani mtoto anaanza tu kuvua,mara mlango wa chumba chumbani unagongwa,tena jamaa anagonga huku akisema kwa sauti ya juu “Naseemaaa Funguaaa Mlangooo”
Daaah,nlitamani nifukue ardhi,akili ikaniijia nikazama kabatini,
Huyo aliekuwa akigonga mlango ni baba yake mdogo na binti,yaani alivofungua tu mlango cha kwanza akampa kofi zito mtt wa kike,hlf moja kwa moja akaja kufungua kabati huku akisema “Kwa usalama wako toka humo”
Aseeee jamaa kama alikuwa na machale vile,
Uzuri siku hio baba mzazi alikua amerudi yoka bar yupo taaban alikua kalala tu juu ya kelele zote hizo na nyumba nzima washaamka
Nkaanza kujitetea”Ooh minlikuja kumfata huyu binti ili akanifungulie mlango niende toilet” kwamaana hio nyumba choo na bafu vilikua kwa uani[emoji2]
Jamaa haelewi lugha amenikwida na shati,,
Ile kukurukakara tu,nikabahatika kuchomoka
Nakumhuka breki yng ya kwanza ilikua ni ubungo[emoji2]
Aseeee huo upuuzi nilisha apia kabxaa sintorudia tena,yaani hata mzigo sijala nikaishia kupata aibu na fedheha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo binti una mawasiliano naye?
 
SIKUFUMANIWA MIMI ILA NI KAMA NLIFUMANIA WATU HATA SIWAJUI WAKATI NAENDA KUFUMANIA.

Iko hivi, mimi na rafiki yangu tulikuwa club, ikafika muda wa kuondoka naangalia ivi parking ya gari naona kuna ugomvi naenda kucheki ugomvi jamaa wawili wanamgombea binti(Kalewa kinoma), nlishawah kumtafuna kimasihara, alivyoniona akaona kama kapata relief akaniita nikaenda nikamchomoa pale.

Kosa nlilofanya nikamwambia mshikaji wangu yule aende akakae nae kwenye bajaji nisolve huu ugomvi wa jamaa sababu jamaa mmoja namjua. Jamaangu kaenda na mwanamke kwenye bajaji kweli mwanamke si kalewa jamaa kaiamuru bajaji isepe, ugomvi umeisha bajaji haipo, jamaa hayupo na mwanamke kasepa. Ikabid nipeleleze bajaji iloondoka nikaambiwa nikaisubir mpaka irud, ilivyorud namuuliza umewapeleka wapi wale hataki kusema , nkamwambia nakupeleka police yule ni mke wangu, bajaji kaogopa kaniambia lodge alowapeleka, niakelekea lodge.

NLIVYOFUMANIA SASA

Nimefika lodge namwomba jamaa wa lodge anieleze walipolekea watu nlowadescribe hataki, nikamwambia yule mke wangu jamaa ndio kagoma kabisa. Mambo ya pombe bwana me nshalewa sielewi, nikaona ananizingua nikamwambia napita room moja moja nakagua akasema nawasumbua wateja, basi akawa kama kanipagawisha nikaanza kushout yoyote anaejiona yupo na mke wangu leo hatoki humu ndani nazunguka lodge yote, kumbe kuna mafala wapo lodge na wake za watu wanailia timing sauti inapoelekea, aisee walipoona sauti inashout kwa mbali walitoka nduki kwa speed ya jet mpaka nikapatwa na kicheko. Lodge au gest ikiwa na vyumba kumi vyumba vinne wanaliwa wake za watu, Amini kwamba. Lile baharia lililokimbia na mwanamke nlopora limekausha kimya si linajua sauti yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Maisha ya ujana yana enjoyment nyingi sana aisee. YOLO..
 
Back
Top Bottom