Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Hahahaaaaaaaaa mkuu una majanga balaa yani hahahaaaaaaaa...... Ila wanawake tunavumilia mengi daaaah!
 
Hahahaaaaaaaaa mkuu una majanga balaa yani hahahaaaaaaaa...... Ila wanawake tunavumilia mengi daaaah!
Ndiyo karena nilichokundua misukosuko ya hivi inatufinyanga sana baadaye ndoa inakuwa imara zaidi maana kama ni changamoto mshalitia zote, siku hizi anasema ukitaka ufe mapema mfuatilie sana mume wako....hahaha..amekuwa mwalimu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sifa wepesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuunganisha whatsapp au uliacha simu kizembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…