Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Shida ni sehemu ya maishaShida zote za nini hizo..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni sehemu ya maishaShida zote za nini hizo..?
Hahahaaaaaaaaa mkuu una majanga balaa yani hahahaaaaaaaa...... Ila wanawake tunavumilia mengi daaaah!Haikufikia huko ila alinipotezea akawa haongei na mimi ikawa maisha ni ububu ndani na mimi nikaona isiwe kesi nikauchuna nikisubiri wakati hasira zake zitakapotulia ila baadaye ilimletea shida sana alipatashida ya kichwa kuuma sana kama magrine hivi kumbe ulikuwa msongo wa mawazo, Kuna dr mmoja pale Kairuki mama mmoja (sita msahau huyu mama) hivi ndiyo alikuwa anamtibu alituita pamoja na kutupa ushauri nasaa baadaye nikaona naweza kumpoteza mke nikaarrange safari ya kwenda Arusha kwenye mbuga za wanyama na kukaa hotel moja pale Arusha ya utulivu siku kadhaa nikaomba msamaha akaongea mengi sana na mimi nikaongea yangu basi akanisamehe ingawa kichwa kilichukuwa muda kupona lakini yaliisha.
Ingawa siku moja miaka kama miwili hivi tuliudhuria harusi moja ambayo yule binti alikuwepo sasa mimi nikiwa nje ya ukumbi alikuja huyu binti kunisalimia alikuwa ameshika glass ya wine anatembea kwa kuchchumia kama kiatu kimechomoka hivi siakanipa ile glass nishike ili aweke kiatu vizuri weweeeee mbona tuacha harus ikabidi tuondoke
Hii ni story nyingine nitafungulia uzi siku moja pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilifumaniwa tena mbele ya kadamnasi, ikabidi nimeze karatasi yangu ya honda kupoteza ushahidi.
Ulikuwa n mtihan wa maths supplementary.
Ndiyo karena nilichokundua misukosuko ya hivi inatufinyanga sana baadaye ndoa inakuwa imara zaidi maana kama ni changamoto mshalitia zote, siku hizi anasema ukitaka ufe mapema mfuatilie sana mume wako....hahaha..amekuwa mwalimu.Hahahaaaaaaaaa mkuu una majanga balaa yani hahahaaaaaaaa...... Ila wanawake tunavumilia mengi daaaah!
Ndomu tena zitokee wapi mwendo wa bakora tuu
Rik boy - mwamba bado unatumikia ban?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mjeda nini???? Aisee lasivyo angekukula kiboga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] sifa wepesiKuna binti mtaa mmoja ana chumba kimoja kiko smart sana, hufanyi kazi yoyote, akaniamisha yuko mwenyewe ila Nilikua na doubt sana kama ni kweli, nikawa nammega humo siku moja moja.
Sasa kuna siku asub nikaenda, nikammega fresh, condoms ziko chini tu, yeye akatoka nikavaa nikaa kwenye sofa nivae buti, Mara nakuta kuna kipande ya mtu imeingia inauliza huyu yuko wapi, nikajua hali tete, nikamwambia katoka kaenda niitia rafiki yake anakuja. Jamaa akatoka nje, nikazificha fasta condoms nikam SMS demu, akashtuka mno, kumbe mwamba ndio anamweka mjini. Nikamwambia ila nimemwambia umeenda niitia mwenzio, so Njoo na yyte yule. Akaja na kademu fulani tukajifanya wapenzi nikaamsha nae namwacha demu, ila alimtandika kinyama huko nyuma na kumwacha.
Mwamba combat zilimtia wenge
Alikuunganisha whatsapp au uliacha simu kizembe?Aisee mimi nilifumaniwa na sms, ilikuwa jumamosi moja hivi tupo na wife bed tunetumzika unajua tena jmosi uchovu na nini sasa nikawa na chati na binti mmoja mrembo sana mtumishi wa umma tumechat kwa sms zote mpaka tukaafikiana location na atangulie achukuwe room kabisa mara paap bint amefika room akarusha picha yupo location tayari kwa game anakula santiana mimi fasta nikaingia bafuni nikapiga maji huyo niwahi mgegedo nikamuaga wife naenda kuchek game ya mpira nimefika kwenye tukio huku napasha kwa bia mbili tatu full kushikana na binti mara simu ya wife ikawa inaita akaniuliza niko wapi ni mwambia nachek game mahali fulani nikapataja akasema una hakika nikasema ndiyo akasema basi poa.. dakika mbili baadaye nikona kwenye simu zangu mvua za sms zote tulizokuwa nachat na binti mh...nilipagawa nilikuwa mdogo kama piriton nikaharisha game hapo hapo nikasepa zangu huku nyuma kilichotokea nitaweka uzi hapa siku moja ngoja siku zisonge kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] ukabaki unamkodolea macho tu bi mkubwaNilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
Ban bado baba leo mwisho...
Sema arobaini zako bado tu Mkuu, unafikiri huwa wanajua kuwa Leo unafumwa?Sijawai kufumamiwa nacheza kwa akili MECHI za UGENINI unakua unafanya counterattack na kulinda kwa saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, pole sana mwamba.Ban bado baba leo mwisho...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walisema mpaka tar 31 desemba
Sent using Jamii Forums mobile app