Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Ndiyo karena nilichokundua misukosuko ya hivi inatufinyanga sana baadaye ndoa inakuwa imara zaidi maana kama ni changamoto mshalitia zote, siku hizi anasema ukitaka ufe mapema mfuatilie sana mume wako....hahaha..amekuwa mwalimu.
Aiseee kweli misuko suko inatuimarisha mkuu
 
Malizia basi...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa miaka ya 2008 kipindi hicho me nilikuwa young boy kijana ambaye ni mbichi kabisa na Radha ya k nilikuwa siifahamu. Kipindi hicho mademu kibao wananitongoza kwa jinsi nilivyokuwa na mvuto kimahaba.

Kuna mademu wakawa wananitongoza nikawakubali wote wawili nikawa nawamiliki. Hapa niseme kwamba Wanaume huwa hatukati mwanamke hakitutongoza ?

Ilikuwa mida ya jioni saa kumi na mbili Hawa mabinti wakaja kunipigia misele maeneo ya home. Kwa bahati nzuri nikawa natoka nje na kukutana nao. Mmoja akaniambia twende home tukapiga stori Mana niko alone. Nikakubari na kuenda, tukawa tuko watatu mabinti wawili na mimi. Kuingia mule ndani wakawa wananirukia mwilini na Mimi nilikuwa sina tactics Yani nilikuwa mgeni wa mambo. Imepita kama saa moja Mama was Yule binti akawa amerudi bhana. Hapa ndo pakawa msala watanitoaje nje. Walinificha maeneo flani. Kuna ukuta mrefu kinoma nikapanda juu niruke , nakuta chini mbali

Nimeshindwa kumalizia kutype Tena . Mana wife kanifumania natype huu utumbo. Mwaka unaanza vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikufumaniwa ila nilienda kugonga dirishani kumbe mmeo karudi yuko chumbani nikawa naita kwa jina mama zuhura fungua mara kibao kumbe linjemba linafungua mlango taratibu nashituka tu kumbe mlango wa chumbani kishafungu anafungua mlango wa mwisho wa nje kimya kimya mwanangu nilikmbia kama mbwa mwizi kwakuwa nilkuwa kitambi nilihema mfukilizo kama nataka kukata roho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenivunja mbavu aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah heshima yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tiririka unatutia uraibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hicho nafanya kazi kiwandani kwa wahindi kuna wasichana watatu walijipendekeza wenyewe nikawa nawakula kula ila wote hao sijawahi kuongea nao mambo ya ndoa, kumbe wenyewe walishashtuka kuwa wanaliwa na mimi,.

Siku moja wakapanga yao bwana, mmoja akanipigia kuwa anakuja geto mana anahamu ya kuliwa nikamkubalia muda mfupi akaja, tuko katikati ya romance ghafla wale wengine wakaingia ndani mana mlango hatukuufunga, aisee walivyoingia nikiwa bado nashangaa wakaufunga mlango kwa ndani. Aisee ilikuwa balaa humo ndani, bahati nzuri ile nyumba haikuwa na ceiling board ndo majirani wakapanda juu na kuingia kuja kuokoa jahazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sijui kama kuna wanaume waliokuwa wabichii ujanani mwao.
 

Maisha ni tactics na teknics
 
Dah mkuu nimecheka sn hapo ulipozodolewa na Masanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema ukweli mzee kama ulipata kipondo kutoka kwa wadada 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] JF nakupenda sana
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF.....never boring!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuokoa jahazi au kukuokoa mkuu,Vip walikutembezea kichapo?
 
Vipi mkuu huyo dada kaolewa? au bado anakuvizia tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…