Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Niliacha simu hamu ya mzigo mpya si unajua tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliacha simu hamu ya mzigo mpya si unajua tena
Aiseee kweli misuko suko inatuimarisha mkuuNdiyo karena nilichokundua misukosuko ya hivi inatufinyanga sana baadaye ndoa inakuwa imara zaidi maana kama ni changamoto mshalitia zote, siku hizi anasema ukitaka ufe mapema mfuatilie sana mume wako....hahaha..amekuwa mwalimu.
Mimi ilikuwa hivi
Kuna kipindi nasoma boarding nilipata kident cha form one mtaani wakati huo mimi nipo fom four.
Sasa kila nikikiomba mzigo kinaogopa kutoka kwao ksnadai labda nikakazie kwao.
Plus ugumu wa balehe na katoto kalikuwa kakali ile mbaya nikaona nijilipue tu.
Nikapanga nae mchongo pale kwao yupo na bi mkubwa wake na wafanyakazi wa ndani.
Chumba analala peke yake ila vimekaribiana na cha bi mkubwa wske.
Ilipofika saa nne usiku nikatoroka shule mpaka mtaani karibu na kwao huyo binti.
Nikakapigia simu kakaniambia nisubiri kidogo watu walale.
Nikasubiri mpaka saa sita kakaniambia fresh sass kstazuga kanaenda chooni masna choo mi cha nje nami ndio nimfuate.
Nikavua viatu vyangu nkanyata mpk karibu na choo mara mtoto huyu hapa.
Tukaongozana kuingia ndani yeye mbele mimi nyuma huku nipo peku.
Basda ya kuingia chumbani kwske nikapata wazo kuwa mlango asifunge ili ikitokea mtu akaja fasta tutamsikia anapotembea kwenye floor na akifungua mlango anaweza asipate idea ya kupekua kunitafuta.
Dah tukapanda kitandani vua nguo zote fresh kufika kwenye chupi mtoto kagoma.
Sasa ile purukushani ya kuhangaika kumvua chupi kitanda kikaws kinapiga kelele nati zilikuwa hazikakaza.
Mara mlango wa bi mkubwa ukagunguliw.mtoto alitoa sauti moja tu "maaama"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenivunja mbavu aiseeeIlikuwa miaka ya 2008 kipindi hicho me nilikuwa young boy kijana ambaye ni mbichi kabisa na Radha ya k nilikuwa siifahamu. Kipindi hicho mademu kibao wananitongoza kwa jinsi nilivyokuwa na mvuto kimahaba.
Kuna mademu wakawa wananitongoza nikawakubali wote wawili nikawa nawamiliki. Hapa niseme kwamba Wanaume huwa hatukati mwanamke hakitutongoza ?
Ilikuwa mida ya jioni saa kumi na mbili Hawa mabinti wakaja kunipigia misele maeneo ya home. Kwa bahati nzuri nikawa natoka nje na kukutana nao. Mmoja akaniambia twende home tukapiga stori Mana niko alone. Nikakubari na kuenda, tukawa tuko watatu mabinti wawili na mimi. Kuingia mule ndani wakawa wananirukia mwilini na Mimi nilikuwa sina tactics Yani nilikuwa mgeni wa mambo. Imepita kama saa moja Mama was Yule binti akawa amerudi bhana. Hapa ndo pakawa msala watanitoaje nje. Walinificha maeneo flani. Kuna ukuta mrefu kinoma nikapanda juu niruke , nakuta chini mbali
Nimeshindwa kumalizia kutype Tena . Mana wife kanifumania natype huu utumbo. Mwaka unaanza vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah heshima yakoIlikuwa miaka ya 2008 kipindi hicho me nilikuwa young boy kijana ambaye ni mbichi kabisa na Radha ya k nilikuwa siifahamu. Kipindi hicho mademu kibao wananitongoza kwa jinsi nilivyokuwa na mvuto kimahaba.
Kuna mademu wakawa wananitongoza nikawakubali wote wawili nikawa nawamiliki. Hapa niseme kwamba Wanaume huwa hatukati mwanamke hakitutongoza ?
Ilikuwa mida ya jioni saa kumi na mbili Hawa mabinti wakaja kunipigia misele maeneo ya home. Kwa bahati nzuri nikawa natoka nje na kukutana nao. Mmoja akaniambia twende home tukapiga stori Mana niko alone. Nikakubari na kuenda, tukawa tuko watatu mabinti wawili na mimi. Kuingia mule ndani wakawa wananirukia mwilini na Mimi nilikuwa sina tactics Yani nilikuwa mgeni wa mambo. Imepita kama saa moja Mama was Yule binti akawa amerudi bhana. Hapa ndo pakawa msala watanitoaje nje. Walinificha maeneo flani. Kuna ukuta mrefu kinoma nikapanda juu niruke , nakuta chini mbali
Nimeshindwa kumalizia kutype Tena . Mana wife kanifumania natype huu utumbo. Mwaka unaanza vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mimi nilifumaniwa na sms, ilikuwa jumamosi moja hivi tupo na wife bed tunetumzika unajua tena jmosi uchovu na nini sasa nikawa na chati na binti mmoja mrembo sana mtumishi wa umma tumechat kwa sms zote mpaka tukaafikiana location na atangulie achukuwe room kabisa mara paap bint amefika room akarusha picha yupo location tayari kwa game anakula santiana mimi fasta nikaingia bafuni nikapiga maji huyo niwahi mgegedo nikamuaga wife naenda kuchek game ya mpira nimefika kwenye tukio huku napasha kwa bia mbili tatu full kushikana na binti mara simu ya wife ikawa inaita akaniuliza niko wapi ni mwambia nachek game mahali fulani nikapataja akasema una hakika nikasema ndiyo akasema basi poa.. dakika mbili baadaye nikona kwenye simu zangu mvua za sms zote tulizokuwa nachat na binti mh...nilipagawa nilikuwa mdogo kama piriton nikaharisha game hapo hapo nikasepa zangu huku nyuma kilichotokea nitaweka uzi hapa siku moja ngoja siku zisonge kidogo.
Nilikuwa sijui kama kuna wanaume waliokuwa wabichii ujanani mwao.Ilikuwa miaka ya 2008 kipindi hicho me nilikuwa young boy kijana ambaye ni mbichi kabisa na Radha ya k nilikuwa siifahamu. Kipindi hicho mademu kibao wananitongoza kwa jinsi nilivyokuwa na mvuto kimahaba.
Kuna mademu wakawa wananitongoza nikawakubali wote wawili nikawa nawamiliki. Hapa niseme kwamba Wanaume huwa hatukati mwanamke hakitutongoza ?
Ilikuwa mida ya jioni saa kumi na mbili Hawa mabinti wakaja kunipigia misele maeneo ya home. Kwa bahati nzuri nikawa natoka nje na kukutana nao. Mmoja akaniambia twende home tukapiga stori Mana niko alone. Nikakubari na kuenda, tukawa tuko watatu mabinti wawili na mimi. Kuingia mule ndani wakawa wananirukia mwilini na Mimi nilikuwa sina tactics Yani nilikuwa mgeni wa mambo. Imepita kama saa moja Mama was Yule binti akawa amerudi bhana. Hapa ndo pakawa msala watanitoaje nje. Walinificha maeneo flani. Kuna ukuta mrefu kinoma nikapanda juu niruke , nakuta chini mbali
Nimeshindwa kumalizia kutype Tena . Mana wife kanifumania natype huu utumbo. Mwaka unaanza vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mm nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo sasa siku moja ya jumamosi wife yy akiwa ameenda ofisini kwake nika kaita kaje nyumbani, alivyokuja nika mgegedea kwenye chumba cha house girl yy pia hakuwepo, mara paap nasikia geti linagongwa kuchungulia ni wife nilimchukua yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti. Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie house girl ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo. wife alichukua document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mm nikaendelea na mgegedo.
Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa
Dah mkuu nimecheka sn hapo ulipozodolewa na MasanjaUlikua mtindo wangu kila usiku sa sita sita ivi watu wamelala mimi nanyata kuelekea chumba cha beki tatu tandika mechi safi naenda kulala zangu najiona bingwa mwenyew kalikua katamu jamni [emoji16][emoji16] basi 40 zikafika siku iyo nimenyata kama kawa nkaingia tukaanza mchezo siku iyo ilikua tamu kweli kweli mana sikusikia hata bi mkubwa akifungua mlango nkaona taa imewashwa tu aisee aliwaka pigwa makofi ya uhakka na beki tatu nae alichezea keleb za kutosha, msala uliisha kijuujuu tu japo alikuja kuondoka mana sio kwa aibu ile dah, sasa mda umepita tukawa sebuleni tunaangalia ze comedy tbc ikafika ile segment mwishon masanja anawachana watu wanaozingua si akaleta pigo za “na wale usiku ukifika mnanyata kwenda geto la mabeki tatu mpo mmetulia mnaangalia show!” maza alicheeeka kwanguvu nlijiskia vibaya [emoji1787][emoji1787] dah kitambo sana.
Sema ukweli mzee kama ulipata kipondo kutoka kwa wadada 3Kipindi hicho nafanya kazi kiwandani kwa wahindi kuna wasichana watatu walijipendekeza wenyewe nikawa nawakula kula ila wote hao sijawahi kuongea nao mambo ya ndoa, kumbe wenyewe walishashtuka kuwa wanaliwa na mimi,.
Siku moja wakapanga yao bwana, mmoja akanipigia kuwa anakuja geto mana anahamu ya kuliwa nikamkubalia muda mfupi akaja, tuko katikati ya romance ghafla wale wengine wakaingia ndani mana mlango hatukuufunga, aisee walivyoingia nikiwa bado nashangaa wakaufunga mlango kwa ndani. Aisee ilikuwa balaa humo ndani, bahati nzuri ile nyumba haikuwa na ceiling board ndo majirani wakapanda juu na kuingia kuja kuokoa jahazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
Me nilikuwa mbichi kabisa Yani. Hata Mbinu za kupiga dudu nilikuwa sina. Ckuwa mchangamfu. Nilikuwa busy na shuleNilikuwa sijui kama kuna wanaume waliokuwa wabichii ujanani mwao.
Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
Kuokoa jahazi au kukuokoa mkuu,Vip walikutembezea kichapo?Kipindi hicho nafanya kazi kiwandani kwa wahindi kuna wasichana watatu walijipendekeza wenyewe nikawa nawakula kula ila wote hao sijawahi kuongea nao mambo ya ndoa, kumbe wenyewe walishashtuka kuwa wanaliwa na mimi,.
Siku moja wakapanga yao bwana, mmoja akanipigia kuwa anakuja geto mana anahamu ya kuliwa nikamkubalia muda mfupi akaja, tuko katikati ya romance ghafla wale wengine wakaingia ndani mana mlango hatukuufunga, aisee walivyoingia nikiwa bado nashangaa wakaufunga mlango kwa ndani. Aisee ilikuwa balaa humo ndani, bahati nzuri ile nyumba haikuwa na ceiling board ndo majirani wakapanda juu na kuingia kuja kuokoa jahazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu huyo dada kaolewa? au bado anakuvizia tu...Asante mkuu, one day nikiwa safarini Dawasco walituletea bill kubwa sana nikamwabia wife aende pale akaongee nao tujue kulikoni akaongea na mmoja wa staff lakini hawakufikia muafaka ikabidi aombe kuongea na meneja mara paap kuingia ufosini anautana na mhasimu wake alikuwa anakaimu umeneja kilichotokea ni story nyingine tena.
[emoji3][emoji3][emoji3] sio poa mzeeNilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]