Wale tuliowahi kukutana na mikasa ya polisi, andika chochote kujikumbusha maumivu

WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
477
Reaction score
145
Habari wana JF, huu ni uzi maalum kwa wale ambao tuliwahi kukumbwa na kadhia ya polisi kama kukimbizwa, kukamatwa, kukamatwa ukizirura, kugoma shule, polisi wakaja kuwapiga virungu na harakati nyingine za mtaani ukikutana na mapongo, karibuni tujikumbushe machungu maana wale jamaa balaa tupu.
 
Mimi nilikamatwa usiku saa saba nilikuwa natoka kutafuta mademu kipindi kile nipo chuo. Waliponikamata walinipeleka polisi nikapigwa mkwara mpaka mkojo ukatoka maana waliniambia watanipiga risasi kama jambazi.

Ilipofika muda baada ya kuwaambia mimi mwanafunzi wakanichukua wakanipandisha yale magari yao wakanipeleka mpaka chuo. Kufika chuo wakaniambia niwaletee mademu. Mimi nikasema poa nikaingia wing yangu nikabadilisha nguo nikalala

Polisi siwapendi kabisa bora wafe wote hata walioko huku jf nawachukia kabisa
 
Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna mademu wali kuwa wanapigana hostel mi nikaenda kuwatoa nikamshika yule aliekuwa anatembeza sana kichapo sana kwa mwenzie nikamuacha yule aliekuwa anapigwa apate Hata nguvu ya kusimama kwanza. Alivyosimama si akatimua mpaka polisi akasema na Mimi nilishiriki kumpiga,tukawekwa hapo buguruni hapo. Saa 2 usiku but mpaka saa Tano hivi Tukatoka..sikupenda Yaani alinikwaza sana.
Kilichoniuma yule demu siku mgusa Yaani sikumpiga halafu akasababisha niwekwe ndani,nilimkomesha kimya kimya siku ya pili alikuta begi lake la Nguo zinaungua na moto,hakuokoa Hata Nguo moja akabaki analia,alishindwa Hata kutuuliza aliishia kuhama room yetu...
 
Aiseee....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pole sana mkuu
 

Mungu hakupi roho mbaya unaipandikiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna askari huyu ambaye alikuwa anasumbuana na Heche aliwahi kunikamata kazini kwangu, Ila uzuri nilijua anakuja kunikamata nilikaa nje nikamsubiri.


Polisi muda mwingine mnakera sana
 
Duhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hatari sana.....
 
Reactions: Gru
Nakumbuka ilikua mwaka 2015 nikiwa IRINGA, nikiwa kwenye kigrocery kimoja mitaa ya kihesa ikaja defender mida ya saa sita kama na robo hivi, Dada wa counter ( ndio niliokua namsubiria afunge) akasema nijifanye bwana wake nimekuja kumsubiri afunge then tuondoke but wazee wa defender wakawa wagumu kuamini wakaniita nje wakaniamuru nipande kwenye gari, but baada kama ya dakika 2 hivi wakaniambia haya shuka! Nachoshukuru yule aliyeniweka mpaka mida hiyo nilienda gegeda mpaka asubuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna askari huyu ambaye alikuwa anasumbuana na Heche aliwahi kunikamata kazini kwangu, Ila uzuri nilijua anakuja kunikamata nilikaa nje nikamsubiri.


Polisi muda mwingine mnakera sana
HAHAHA POLE SANA MKUUU HALAF HAWANA POLITE LANGUAGE
 
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…