Nakumbuka kuna mademu wali kuwa wanapigana hostel mi nikaenda kuwatoa nikamshika yule aliekuwa anatembeza sana kichapo sana kwa mwenzie nikamuacha yule aliekuwa anapigwa apate Hata nguvu ya kusimama kwanza. Alivyosimama si akatimua mpaka polisi akasema na Mimi nilishiriki kumpiga,tukawekwa hapo buguruni hapo. Saa 2 usiku but mpaka saa Tano hivi Tukatoka..sikupenda Yaani alinikwaza sana.
Kilichoniuma yule demu siku mgusa Yaani sikumpiga halafu akasababisha niwekwe ndani,nilimkomesha kimya kimya siku ya pili alikuta begi lake la Nguo zinaungua na moto,hakuokoa Hata Nguo moja akabaki analia,alishindwa Hata kutuuliza aliishia kuhama room yetu...