Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Wanaotupa watoto chooni wachumba tu.Ulitupa Mtoto Chooni baada ya kujifungua?
Machaka yote na mapori haya.
Wala....nilidakwa na kesi ingine nzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotupa watoto chooni wachumba tu.Ulitupa Mtoto Chooni baada ya kujifungua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupe uzoefu mkuu
Ukikaa kule ni kama umeenda kuchukua stashahada ya mambo mbal mbal[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupe uzoefu mkuu
DuhUkikaa kule ni kama umeenda kuchukua stashahada ya mambo mbal mbal
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikamatwa napiga mambo kwa mtoto wa mkuu wa kituo
Nililala kituon cku 12,ctasahau
Ila yule dem leo mama watoto wang
Sent using Jamii Forums mobile app
Tililika tuelewe mkuuNishaendaga kwenye ATM nyapinga usiku mnene yaliyotokea ni ligi na askari kilichofuata..............................!
Jaman, kumbe bulaya hakuigiza bureNilikamatwa Na Bange border nikawekwa lockup. Na ilikuwa a week to my wedding.
Humo lockup asikuambie mtu. Harufuuuu mbaya ya mikojo, cold floors. Lol.
Nilikamatwa Na Bange border nikawekwa lockup. Na ilikuwa a week to my wedding.
Humo lockup asikuambie mtu. Harufuuuu mbaya ya mikojo, cold floors. Lol.
HahahahahahaahKesi ya ndumu maskani baada ya kutukamata wakatuwekea ngoma ya singeli ile ya mikono juu mwendo wa mateka wakawa wanatuforce tucheze et kama huwez unapigwa gun
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubebwa kama gunia na virungu vya kutosha kuingia mahabusu yenyewe ilikuwa ni mikikimikiki mara nimeshika kiti mara mlango!
hahahaah hadi nimecheka sana hapa pole san mkuuKubebwa kama gunia na virungu vya kutosha kuingia mahabusu yenyewe ilikuwa ni mikikimikiki mara nimeshika kiti mara mlango!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kubebwa kama gunia na virungu vya kutosha kuingia mahabusu yenyewe ilikuwa ni mikikimikiki mara nimeshika kiti mara mlango!