Wale tuliowahi kukutana na mikasa ya polisi, andika chochote kujikumbusha maumivu

Wale tuliowahi kukutana na mikasa ya polisi, andika chochote kujikumbusha maumivu

Walinikamata nilikuwa naiba mikake gari la mikate lilipinduka
 
Nakumbuka kuna mademu wali kuwa wanapigana hostel mi nikaenda kuwatoa nikamshika yule aliekuwa anatembeza sana kichapo sana kwa mwenzie nikamuacha yule aliekuwa anapigwa apate Hata nguvu ya kusimama kwanza. Alivyosimama si akatimua mpaka polisi akasema na Mimi nilishiriki kumpiga,tukawekwa hapo buguruni hapo. Saa 2 usiku but mpaka saa Tano hivi Tukatoka..sikupenda Yaani alinikwaza sana.
Kilichoniuma yule demu siku mgusa Yaani sikumpiga halafu akasababisha niwekwe ndani,nilimkomesha kimya kimya siku ya pili alikuta begi lake la Nguo zinaungua na moto,hakuokoa Hata Nguo moja akabaki analia,alishindwa Hata kutuuliza aliishia kuhama room yetu...
Laa, ni kisasi kibaya sana ulimfanyia!

Sent by Nokia E5 using Jamii Forums mobile app
 
Hapo stakhishari nmelala kma mara 7 ivi
Ukakutana na akina Mgosi, Filipo eeee na akina Afande Fatuma.
Ila ni rumors tu.
Mbona mie nimekaa kwa siku zote wala sijapata hekaheka wala nini.
Sema wale kunguni ni balaaa.
Kunguni kama mchanga.
 
Back
Top Bottom