Wale tuliozidiwa urefu na wadogo zetu tuonane humu.

Wale tuliozidiwa urefu na wadogo zetu tuonane humu.

mdogo wangu wa mwisho kazaliwa 2004 nimemzidi miaka zaidi ya kumi ana futi 6.5 na mimi kaka yake eti futi 5.8 this is not fair, maza itabidi abanwe na aeleze kinagaubaga hii mbegu ya uyu dogo ni ya wapi
Mkuu nina madogo wawili aisee huwa siongozani nao na tukiwa tunapiga story huwa napenda tukae kwenye kiti au chini mana ni aibu
 
Kwa hiyo umemfikiria kabisaa maza ako anakatikiwa na njemba sio?
 
Ungeenda muuliza kwanza akishakupa jibu ndo ungekuja anzisha thread
 
Hiyo id name aiseee

Ma - great thinkers tunakomenti humu?
 
mdogo wangu wa mwisho kazaliwa 2004 nimemzidi miaka zaidi ya kumi ana futi 6.5 na mimi kaka yake eti futi 5.8 this is not fair, maza itabidi abanwe na aeleze kinagaubaga hii mbegu ya uyu dogo ni ya wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom