Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi.

Nimepewa number za wasambazaji wa Mchanga nime agiza lori 4.

Nimepita Duka la Hardware nime nunua Nondo za 16mm pc 25.

Jioni hii nimepita Kwa wauza Cement nime lipia mifuko 50 ila itakuwa inaletwa site taratibu kwa itaji la siku la Mafundi maana hawako mbali na site yangu na sina pakuweka.

Kwa sasa Niko mahali na Taka kununua Tank la Majin la simTank la l lita 4000lt.

Siku yangu imeisha kwa-ubize huu...

Vipi wenzangu!?? Mliopanga kuanza ujenzi mwaka huu mna mikakati ya kuanzaje.. ??

Pia naomba Wajenzi wazoefu nishauri chochote hapo.

Site yangu ipo Mbezi Beach ya Salasala Mwisho wa Lami mita 200 tu kutoka Lami ilipo.

Vifaa ni vyakuanzia tu awamu ya kwanza.. Nyumba niliyo ipost hapa chini ndio Ninayo ijenga na hiyo ni moja ya Mchoro wa Actual drawing from Wachoraji.

IMG-20220101-WA0005.jpg
View attachment 2065227
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...

Big up
 
Hongera ila hakikisha unapata msimamizi makini mzuri na mwaminifu walau kwa asilimia 86
Yaan niko Mwenyewe sitoki mpaka hapo nitakapo ishia mwezi mzima niko .. nikuwabana na kunao benet na Mkaguzi wangu Engineer mmbobevu , fundi akizingua na badilisha kila stage maana Muongozo upo wazi anatakiwa afuate kanuni zote na kila bada ya siku mbili Engineer anakuja ku approve go ahead.. aki kuta tatizo fundi ana ishia hapo hapo na mtoa site.
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi....
Mkuu hii ramani nimeipenda hebu mafrekecheke niipate
 
Juu ni Master Delux Lorge Ina na Space ya seperate, chini kuna room 3 moja master mbili normal.
Haya mzeya endelea kutupa update na sie wengine tupate inspiration. Ila ukihitaji construction materials usinisahau mzeya
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Hongera sana
 
Yaan niko Mwenyewe sitoki mpaka hapo nitakapo ishia mwezi mzima niko .. nikuwabana na kunao benet na Mkaguzi wangu Engineer mmbobevu , fundi akizingua na badilisha kila stage maana Muongozo upo wazi anatakiwa afuate kanuni zote na kila bada ya siku mbili Engineer anakuja ku approve go ahead.. aki kuta tatizo fundi ana ishia hapo hapo na mtoa site.
Yeah hapo utatoboa
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Kila la heri mkuu ukimaliza huo mjengo value ya hiyo property itakuwa sio chini ya milioni 300.

Hapo kama unabiashara yako tamu, unaweka hiyo nyumba collateral unaenda kuikopea na kusimamisha mjengo mngine..

Ndo mwazo wa utajiri huo mkuu
 
Back
Top Bottom