Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi.
Nimepewa number za wasambazaji wa Mchanga nime agiza lori 4.
Nimepita Duka la Hardware nime nunua Nondo za 16mm pc 25.
Jioni hii nimepita Kwa wauza Cement nime lipia mifuko 50 ila itakuwa inaletwa site taratibu kwa itaji la siku la Mafundi maana hawako mbali na site yangu na sina pakuweka.
Kwa sasa Niko mahali na Taka kununua Tank la Majin la simTank la l lita 4000lt.
Siku yangu imeisha kwa-ubize huu...
Vipi wenzangu!?? Mliopanga kuanza ujenzi mwaka huu mna mikakati ya kuanzaje.. ??
Pia naomba Wajenzi wazoefu nishauri chochote hapo.
Site yangu ipo Mbezi Beach ya Salasala Mwisho wa Lami mita 200 tu kutoka Lami ilipo.
Vifaa ni vyakuanzia tu awamu ya kwanza.. Nyumba niliyo ipost hapa chini ndio Ninayo ijenga na hiyo ni moja ya Mchoro wa Actual drawing from Wachoraji.
View attachment 2065227