mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Ugali na samaki au na dagaa walioandaliwa vizuri na mboga za majani kidogo aisee nitakula ugali mwingi sanaUgali na mboga gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugali na samaki au na dagaa walioandaliwa vizuri na mboga za majani kidogo aisee nitakula ugali mwingi sanaUgali na mboga gani?
Chai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzima
Njoo nikuoe mkuuSafi sana!
Ni wanaume wachache wanaojua na kupenda kupika
Kisa tu unajua kupika ndio niolewe na wewe? No thanks!Njoo nikuoe mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni chai tu au kuna kingineChai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzima
Chapati hazina ugumuChapati napika ngumu,nishajitoa huko
Najua sn kupika mboga ,zooote. Na chaiii
Hapana nina kila sifa ya mwanaume wa karne hii.Kisa tu unajua kupika ndio niolewe na wewe? No thanks!
Hahahaaa safi sanaUgali na samaki au na dagaa walioandaliwa vizuri na mboga za majani kidogo aisee nitakula ugali mwingi sana
Tuko wengi kumbe chai yangu ni ya mchai chai tu au tangawizi pilipii manga kidogo mdalasini ndio natumia kama majani nayo pia nikikosanaweka mchaichai tuMie Chai sipiki ya majani,sitii majani kabisaaa
Yote haya nimejaribu lakini wapi...sijui huwa nazikoseaga wapi?Chapati hazina ugumu
Hakikisha mafuta yawe si mengi sana na unga usukume au ukande mlaini usiwe mlaini sana uwe mlaini kiasi ambacho huminyani nao kusukuma madonge
Sio lazima maji yawe moto hata maji baridi tumia formula hiyohiyo na zinakua nzuri
Hakiliki kwa nn sasa maybe utakua uanzidisha manjonjo ya kiasi cha hivo viungoHua nashindwa kupika chakula zaidi ya kutumia viungo common tuu, yan nyanya, karoti, kitunguu,, siku nikijiona mjuzi nitumie vingine chakula hua hakiliki [emoji3] [emoji3] ! Msaada tafadhali
Chapati uikande na mafuta size na ikiwa laini haikusubui hata kutoa ile round wala huangaiki ukiweka nia utaweza kila kitu kwa nia hakuna kimachoshindikana chini ya jua labda kutafta pumzi tuYote haya nimejaribu lakini wapi...sijui huwa nazikoseaga wapi?
Mwanaume wa karne hii ana sifa zipi?Hapana nina kila sifa ya mwanaume wa karne hii.
Wacha hili liwe miongoni mwa maazimio yangu ya 2018,ili kwa namna yoyote ile niweze.Chapati uikande na mafuta size na ikiwa laini haikusubui hata kutoa ile round wala huangaiki ukiweka nia utaweza kila kitu kwa nia hakuna kimachoshindikana chini ya jua labda kutafta pumzi tu
Kwenye kubalance ivyo sijui viungo nashindwa kabisa madame, jana nmepika pilau kwa fujo ile kuonja haimezeki kwa huo uchungu nikaishia kumwaga yote nikaenda hotelini kula na nimepata hasara kwa kweli.Hakiliki kwa nn sasa maybe utakua uanzidisha manjonjo ya kiasi cha hivo viungo
Inshallah na Mungu akutie nguvu na tukiwa wazima ufanikishe malengo yakoWacha hili liwe miongoni mwa maazimio yangu ya 2018,ili kwa namna yoyote ile niweze.
Jamani pole jitahidi kubalance size mimi chumvi either izidi sana au ipungue sana nimejaribu sasa hivi alhamdulillah ninaweza kubalance hakikisha unatumia viungo size tu visitokeze sana harufu viwe normal tu jitahidi leo umezidisha kesho punguza kidogo hivohivo utakua levelKwenye kubalance ivyo sijui viungo nashindwa kabisa madame, jana nmepika pilau kwa fujo ile kuonja haimezeki kwa huo uchungu nikaishia kumwaga yote nikaenda hotelini kula na nimepata hasara kwa kweli.
Nipe ruhusa nikuchek PM, siwez sema publicMwanaume wa karne hii ana sifa zipi?