Wale tunaopenda kupika

Wale tunaopenda kupika

Hua nashindwa kupika chakula zaidi ya kutumia viungo common tuu, yan nyanya, karoti, kitunguu,, siku nikijiona mjuzi nitumie vingine chakula hua hakiliki [emoji3] [emoji3] ! Msaada tafadhali
 
Chapati napika ngumu,nishajitoa huko
Najua sn kupika mboga ,zooote. Na chaiii
Chapati hazina ugumu
Hakikisha mafuta yawe si mengi sana na unga usukume au ukande mlaini usiwe mlaini sana uwe mlaini kiasi ambacho huminyani nao kusukuma madonge

Sio lazima maji yawe moto hata maji baridi tumia formula hiyohiyo na zinakua nzuri
 
Mie Chai sipiki ya majani,sitii majani kabisaaa
Tuko wengi kumbe chai yangu ni ya mchai chai tu au tangawizi pilipii manga kidogo mdalasini ndio natumia kama majani nayo pia nikikosanaweka mchaichai tu
 
Chapati hazina ugumu
Hakikisha mafuta yawe si mengi sana na unga usukume au ukande mlaini usiwe mlaini sana uwe mlaini kiasi ambacho huminyani nao kusukuma madonge

Sio lazima maji yawe moto hata maji baridi tumia formula hiyohiyo na zinakua nzuri
Yote haya nimejaribu lakini wapi...sijui huwa nazikoseaga wapi?
 
Hua nashindwa kupika chakula zaidi ya kutumia viungo common tuu, yan nyanya, karoti, kitunguu,, siku nikijiona mjuzi nitumie vingine chakula hua hakiliki [emoji3] [emoji3] ! Msaada tafadhali
Hakiliki kwa nn sasa maybe utakua uanzidisha manjonjo ya kiasi cha hivo viungo
 
Yote haya nimejaribu lakini wapi...sijui huwa nazikoseaga wapi?
Chapati uikande na mafuta size na ikiwa laini haikusubui hata kutoa ile round wala huangaiki ukiweka nia utaweza kila kitu kwa nia hakuna kimachoshindikana chini ya jua labda kutafta pumzi tu
 
Wacha hili liwe miongoni mwa maazimio yangu ya 2018,ili kwa namna yoyote ile niweze.
 
Hakiliki kwa nn sasa maybe utakua uanzidisha manjonjo ya kiasi cha hivo viungo
Kwenye kubalance ivyo sijui viungo nashindwa kabisa madame, jana nmepika pilau kwa fujo ile kuonja haimezeki kwa huo uchungu nikaishia kumwaga yote nikaenda hotelini kula na nimepata hasara kwa kweli.
 
Wacha hili liwe miongoni mwa maazimio yangu ya 2018,ili kwa namna yoyote ile niweze.
Inshallah na Mungu akutie nguvu na tukiwa wazima ufanikishe malengo yako

Binafs nakuelewa kwa nn chapati hata mm zilinishinda kabisa na nilikua nafundiswhwa huku napigwa na ule msukumio mikononi mana nilikua nahangaika ntakanda vizuri nitakunja vizuri kizaazaa kuzikunjua na kuziweka kikaangoni ntahangaika sana naweza zuguka hapochini na chapat itatoka haieleweki

Mwanzo hua mgumu siku zote utakuja weza naamini
 
Kwenye kubalance ivyo sijui viungo nashindwa kabisa madame, jana nmepika pilau kwa fujo ile kuonja haimezeki kwa huo uchungu nikaishia kumwaga yote nikaenda hotelini kula na nimepata hasara kwa kweli.
Jamani pole jitahidi kubalance size mimi chumvi either izidi sana au ipungue sana nimejaribu sasa hivi alhamdulillah ninaweza kubalance hakikisha unatumia viungo size tu visitokeze sana harufu viwe normal tu jitahidi leo umezidisha kesho punguza kidogo hivohivo utakua level
 
Back
Top Bottom