Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Yaani mil3 naweza kwenda Dubai na kushangaa siku mbili tatu?
 
Pale naona wazungu ndo inawafaa pamekaa kama uswazi sjui ndo african culture
Habari wadau,ninaplan ya kutembelea mlima kilimanjaro mwaka huu. Nitakuwa na familia so sidhan kama nitapanda mlima ila nataka kujua sehem gani nitaweza kuona mlima vizuri,sehemu yenye hotel au lodge nzuri na gharama nafuu na pia sehemu nitakayoweza kupiga selfie kali kali[emoji12][emoji12]
Unajua mlima kilimanjaro ukifika sehemu yoyote ya mkoa wa kilimanjaro unauona,

Hasa kibosho,Yapo mazingira rafiki kabisa yatakayo kufurahisha kama unataka kuto kupanda mlima kwa sehemu kama machame,marangu na kibosho ,

Ukienda marangu utaenjoy view ya mt kili,Maporomoko ya maji kama kilasiya,kinu kamori,ndoro water fall nk,uanweza fika hadi kinapa ukatembea tembea kidogo

Gharama za lodge/hotel ni kuanzia 15$ na kuendelea
 
Hotels mbona kawaida sana. Kuanzia $50 hotel zinaridhisha kabisa. Kutembea huna haja ya mwenyeji. Google sehemu za kutembelea ukiwa Dubai then unaenda mwenyewe tu tena usitumie taxi bei mbaya,tumia dubai metro iko straightfoward unafika sehemu nyingi sana kwa bei chee.
Brother you are missed
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
Nataka mwakani niende Mtwara na Lindi ili niwe nimekamilisha kufika mikoa yote ya Tanganyika.
 
Arusha
20231210_175930.jpg
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
-Lushoto
-Mafia
-Pemba
-Puerto Rico
-Malawi
-etc
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.

Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina

Dubai Standi?,..vp kuhusu afya ya Marinda kutafunwa?
 
Mama anajenga na kuendeleza nchi, watanzania sasa tunatalii nchi yetu. Kabla watalii walikua wazungu tu.
 
Back
Top Bottom