mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Nimefika , naomba niseme ,kwa mwingine yeyote akifika mwanza basi afanye namna afike Waghill.Hakikisha unafika Wag Hill
Hutajutia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefika , naomba niseme ,kwa mwingine yeyote akifika mwanza basi afanye namna afike Waghill.Hakikisha unafika Wag Hill
Hutajutia
Kwa mbeya at least matema kuna Beach si habaMkoa wa Mbeya mtu atembelee wapi na wapi
Tuna miss stori zako za abroadGood for you.
A traveller!
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Really? Let me try to organize myself and come up with one.Tuna miss stori zako za abroad
Hapa hohehahe haendi..
Kuna dolphin Zanzibar?mtu aliyefika kwenye kuangalia dolphin Znz anipe rougly budget. 😋
Nilienda Mwanza sijaenjoyNimefika , naomba niseme ,kwa mwingine yeyote akifika mwanza basi afanye namna afike Waghill.
Dolphin (pomboo) wapo wa kutosha sana Zanzibar, hasa pwani ya kaskazini, Bejuu nadhani. Ila wana msimu wake.
Gharama zao.....?Kuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmas [emoji319] moja. Tulienjoy sana
Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.
Kuna maeneo kadhaa mazuri ya kutembelea mkoani Mbeya, jumlisha na mkoa wa SongweMkoa wa Mbeya mtu atembelee wapi na wapi
Kwa sababu zipi? Panaendeka vizuri tu na bei sio kubwa kihivyo.Hapa hohehahe haendi..
Za kutosha huyo savanna ananywewa wapi hapo?
LushotoZa kutosha huyo savanna ananywewa wapi hapo?