Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Haya Ni maajabu duniani...unaendesha Four Wheel Kwa 140,000 au ni mjasiriamali au mwiziINTRODUCTION
Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa.
Hebu twende kwenye mada moja kwa moja.
SCENARIO.
Umeuona huu mshahara...!!!
Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo ....
1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!!
2. Unanipa Flying fish na Hanson's choice kila nisikiapo kiu
3. Unalipa kodi
4. Unanunua Mafuta ya 4 wheel yangu ya kuvimbia mjini.
5. Unanipa nafasi ya kula Bata mjini.
6.
7.
9.
10.
CONCLUSION.
Mbinu ni ileile ""Naishi kimiujiza..!!""
View attachment 2696021
ANYWAY.
Tuendelee kutafuta pesa.
Hela ndio kila kitu.
Money buys anything you want.
#YNWA
Kodi + chakula tu kwa mwezi ni zaidi ya iyo 140.Haya Ni maajabu duniani...unaendesha Four Wheel Kwa 140,000 au ni mjasiriamali au mwizi
Ndo ushangaeKodi + chakula tu kwa mwezi ni zaidi ya iyo 140.
Namsubiri mama aongeze kidogo.Haya Ni maajabu duniani...unaendesha Four Wheel Kwa 140,000 au ni mjasiriamali au mwizi
Hakuna kitu 0:0Namsubiri mama aongeze kidogo.
Sijui kama Leo ataongeza
#YNWA
Kwa kias hiki hupaswi kutumia bando lako.INTRODUCTION
Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa.
Hebu twende kwenye mada moja kwa moja.
SCENARIO.
Umeuona huu mshahara...!!!
Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo ....
1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!!
2. Unanipa Flying fish na Hanson's choice kila nisikiapo kiu
3. Unalipa kodi
4. Unanunua Mafuta ya 4 wheel yangu ya kuvimbia mjini.
5. Unanipa nafasi ya kula Bata mjini.
6.
7.
9.
10.
CONCLUSION.
Mbinu ni ileile ""Naishi kimiujiza..!!""
View attachment 2696021
ANYWAY.
Tuendelee kutafuta pesa.
Hela ndio kila kitu.
Money buys anything you want.
#YNWA
HakikaKazi sio mshahara ni kile unachopata Kila siku ukiwa job
Unaishi kimaskini sana,Last month nilikopa, mwezi huu nimepokea 3.7M. Najisikia vibayaaaa. Ile 5.8M nilikuwa napokea na bado nilijibana. Sasa hii ya mwezi huu sijui itakuwaje.
😃😃🤣🤣🤣Unaishi kimaskini sana,
5.8M?, inabidi ujibane sanaa.