Wale tunaopokea mishahara ya majanga (midogo) hebu tukutane tupeane mbinu za kuishi..!!!

Wale tunaopokea mishahara ya majanga (midogo) hebu tukutane tupeane mbinu za kuishi..!!!

Africa watu wanaishi kwa mipango kweli.

Kuna sehemu nilikutana na wadau mshahara sisimizi na unatoka tarehe 40, ila wanakuambia hapa hatuondoki mipango mingi hata tusipolipwa pesa haikauki.
Umehitisha Uzi.
Mjini MIPANGO.

#YNWA
 
Bora uwe mfagia choo ulaya kuliko kuwa mwl mwenye degree hapa Tanganyika

Bora uwe mfagia choo ulaya kuliko kuwa mwl mwenye degree hapa Tanganyika

Hayo wewe unasema.
Ila Mimi kwa mshahara huu huu Kazi serikalini siachi mpaka MALENGO YANGU YATIMIE.
Na napigana YATIMIE nikiwa bado hivihivi kijana.

#YNWA
 
Haya Ni maajabu duniani...unaendesha Four Wheel Kwa 140,000 au ni mjasiriamali au mwizi
Maisha tu. Kuna mwalimu alikopa milion 3, sasa hakuangalia vizuri kuhusu kulipa deni pamoja na riba kwahiyo anatakiwa alipe milion 9.
Bado mikopo mingine. Hiyo ni sawa kabisa
 
Back
Top Bottom