Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Tumi kitambulisho kusukuma ka lock ka gate huwa linafunguka
duuhMbinu kama yangu, ila kwa sasa natumia funguo ya gari, ni rahisi na salama
unafanyaje hii mkuu?Tumi kitambulisho kusukuma ka lock ka gate huwa linafunguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anza kurusha mawe juu ya bati.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]legendary tukifungiwa mlango sherehe kwa nyumba ndogo
Wale wa nyt kali na mageti ndio hvyo yashafungwa mnatumia mbinu gani?
Mimi huwa napanga tofali naruka ukuta,hapa ndio narud nishajipanga,
Bongo nyoso
[emoji23][emoji23] mi Kuna kademu ka kawaida tumepanga nako nyumba moja, nimekaomba mzigo ili tu kawe kananifungulia geti