Wale tunaorudi nyumbani usiku mkali na hatuna uhakika wa kufunguliwa geti tupeane mbinu

Mimi nilikuwa napiga simu tu mapema geti lisifungwe.
 
TUNAOISHI NYUMBA ZA UDONGO NA MILANGO YA MABUA TUNARUHUSIWA KUKOMENT??
 
Sasa hilo geti si mtengeneze funguo nyingi kila mtu ashike ya kwake kuruka ukuta ukivunja miguu hasara kwa nani
Wanawake unawajua kaka?? Wengine wanafunga wanaacha hapo ufunguo ukija na wako hauingii kudadeki!! Visirani hawa watu
 
Maeneo ya Goba wazee wa kazi huwa wanawasubiria magetini.... mnakula mapanga ya kutosha .
 
[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasiku
Mkuu sio mlevi ww.mlipa kodi wa mwendokasi.Ila ako kabinti unakaamini sana mkuu.ukiwa drip unakumbuka buti.mana wimbi Linakuw zito
 
[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasiku
Unanikumbusha mbeya jamaa angu nae alikuwa mlevi kipindi icho kama mm.alizoea kuruka ukuta enzi hizo tupo chini ya uangalizi wa wazazi midnight.sasa kuna siku alilewa mchana chakali ilikuwa sikukuu.Mama ake akashangaa jamaa anang'ang'ana na ukuta kuruka wakati geti liko wazi.ilikuw kituko nikimkumbusha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom