Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Hehehe kumbe tuko wengi...mi natumia kitambulisho au cd mbovu.Tumi kitambulisho kusukuma ka lock ka gate huwa linafunguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe kumbe tuko wengi...mi natumia kitambulisho au cd mbovu.Tumi kitambulisho kusukuma ka lock ka gate huwa linafunguka
Wanawake unawajua kaka?? Wengine wanafunga wanaacha hapo ufunguo ukija na wako hauingii kudadeki!! Visirani hawa watuSasa hilo geti si mtengeneze funguo nyingi kila mtu ashike ya kwake kuruka ukuta ukivunja miguu hasara kwa nani
Wanawake unawajua kaka?? Wengine wanafunga wanaacha hapo ufunguo ukija na wako hauingii kudadeki!! Visirani hawa watu
Sorry nilikufananisha na ErickKwa hiyo mi kaka?? We jamaa hata macho yako hayaoni????
Hahaha vip kaka mbona umekua mkali?Kwa hiyo mi kaka?? We jamaa hata macho yako hayaoni????
HahahahhIgiza sauti ya baba yako atajua mkwe wake anagonga hodi atafungua tu
Mkuu sio mlevi ww.mlipa kodi wa mwendokasi.Ila ako kabinti unakaamini sana mkuu.ukiwa drip unakumbuka buti.mana wimbi Linakuw zito[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasiku
Unanikumbusha mbeya jamaa angu nae alikuwa mlevi kipindi icho kama mm.alizoea kuruka ukuta enzi hizo tupo chini ya uangalizi wa wazazi midnight.sasa kuna siku alilewa mchana chakali ilikuwa sikukuu.Mama ake akashangaa jamaa anang'ang'ana na ukuta kuruka wakati geti liko wazi.ilikuw kituko nikimkumbusha.[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasiku
Mkuu nazungumzia ukuta wa nyumba..sio ukuta pendwa uleeeJana tu nimetoka kuruka ukuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanikumbusha mbeya jamaa angu nae alikuwa mlevi kipindi icho kama mm.alizoea kuruka ukuta enzi hizo tupo chini ya uangalizi wa wazazi midnight.sasa kuna siku alilewa mchana chakali ilikuwa sikukuu.Mama ake akashangaa jamaa anang'ang'ana na ukuta kuruka wakati geti liko wazi.ilikuw kituko nikimkumbusha.
Wanaitwa nyiguMaeneo ya Goba wazee wa kazi huwa wanawasubiria magetini.... mnakula mapanga ya kutosha .
Huohuo wa nyumba mwehu wew hahahaMkuu nazungumzia ukuta wa nyumba..sio ukuta pendwa uleee
Tukaishi wap mkuu..porini auHameni kwenu, kwanini mpate tabu