Wale tunaorudi nyumbani usiku mkali na hatuna uhakika wa kufunguliwa geti tupeane mbinu

Wale tunaorudi nyumbani usiku mkali na hatuna uhakika wa kufunguliwa geti tupeane mbinu

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Wanaume bwana huyo bidada anakuona wa maana kumbe wewe umemfanya mlinzi wa geti
[emoji23][emoji23] na siku nikirudi usiku tu nalala kwake,, so ashanogewa kumbe mi hata Sina mpango nae,,,
 
Sasa hilo geti si mtengeneze funguo nyingi kila mtu ashike ya kwake kuruka ukuta ukivunja miguu hasara kwa nani
Unaweza ukawa na funguo, ukachelewa ukakuta kasokomeza komeo!
Iliwah kunitokea na likomeo kesho yake nikalitoa!
 
Tengeneza funguo yako usimchezee binti wa watu..... Mnatia hasira nyie
[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasiku
 
Wale wa nyt kali na mageti ndio hvyo yashafungwa mnatumia mbinu gani?

Mimi huwa napanga tofali naruka ukuta,hapa ndio narud nishajipanga,

Bongo nyoso
Aisee one day nilichelewa kurudi sema nilizoea kuruka ukuta sasa siku moja kumbe eneo nalitaka kurukia ukuta umeoza ile natua chini ukuta ukanifata nyuma dah! afu ndani kunambwa unaweza kuvuta picha nilikuwa kwenye hali gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze kwanza jinsi ya kufungua geti, utavunjika nyonga ukose bara na pwani.
Hahahaha hilo nishalifanyia kazi
 
Kuruka ukuta ni kutafuta balaa mambo hayo waachie waenda disco tengeneza spear key kama kuna komeo kuwa na namba ya simu ya mtu atakae kufungulia mlango sio kurukaruka maukuta mwishowe uitiwe mwizi
 
Back
Top Bottom