maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 233
- 366
[emoji23][emoji23] na siku nikirudi usiku tu nalala kwake,, so ashanogewa kumbe mi hata Sina mpango nae,,,[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Wanaume bwana huyo bidada anakuona wa maana kumbe wewe umemfanya mlinzi wa geti
[emoji23][emoji23] na siku nikirudi usiku tu nalala kwake,, so ashanogewa kumbe mi hata Sina mpango nae,,,
Sa ntafanyeje mkuu,, unatak niwe naruka ukuta,,?! Nisije nikafa bure wakajua mwzi,,Sio vizuri muogope Mungu
Unaweza ukawa na funguo, ukachelewa ukakuta kasokomeza komeo!Sasa hilo geti si mtengeneze funguo nyingi kila mtu ashike ya kwake kuruka ukuta ukivunja miguu hasara kwa nani
Sa ntafanyeje mkuu,, unatak niwe naruka ukuta,,?! Nisije nikafa bure wakajua mwzi,,
Unaweza ukawa na funguo, ukachelewa ukakuta kasokomeza komeo!
Iliwah kunitokea na likomeo kesho yake nikalitoa!
[emoji3][emoji3],, mkuu Hawa mabinti hata ukiwatania tu kuomba mzigo wanakubali, Sasa na si tunashindw kuwaacha,,, haraf funguo yangu ya geti nimempa akae nayo,, mi Ni mlevi Sana vitu Kama funguo huwa napoteza kilasikuTengeneza funguo yako usimchezee binti wa watu..... Mnatia hasira nyie
Aisee one day nilichelewa kurudi sema nilizoea kuruka ukuta sasa siku moja kumbe eneo nalitaka kurukia ukuta umeoza ile natua chini ukuta ukanifata nyuma dah! afu ndani kunambwa unaweza kuvuta picha nilikuwa kwenye hali ganiWale wa nyt kali na mageti ndio hvyo yashafungwa mnatumia mbinu gani?
Mimi huwa napanga tofali naruka ukuta,hapa ndio narud nishajipanga,
Bongo nyoso
Hahaha usiku una mengi mkuu..unaenda kwa nyumba ndogo unakuta yupo na nyumba kubwa yakelegendary tukifungiwa mlango sherehe kwa nyumba ndogo
Mic uuWalevi bwana.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
ππππππMic uu
Safi sana.Hahaha usiku una mengi mkuu..unaenda kwa nyumba ndogo unakuta yupo na nyumba kubwa yake
Hahahaha hilo nishalifanyia kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze kwanza jinsi ya kufungua geti, utavunjika nyonga ukose bara na pwani.
Basi vizuri, sasa turudi kwenye pombe, hebu punguza kidogo.Hahahaha hilo nishalifanyia kazi
Wewe ni mtu wa nne kwa leo tu unaniambia hvyo...Basi vizuri, sasa turudi kwenye pombe, hebu punguza kidogo.
Ameeeen!Wewe ni mtu wa nne kwa leo tu unaniambia hvyo...
Aisee nadhani mda umefika sasa