Wale tunaorudi nyumbani usiku mkali na hatuna uhakika wa kufunguliwa geti tupeane mbinu

Dah....Kwanza nimecheka Kisha nimepata tumaini kwamba siko pekeyangu.....Mi huwa narudi kulala ofcn..Mimi ndio was mwisho kurudi nyumban 6 au 7 so Mimi ndio mfunga get... Sometimes nakuta limefungwa hapo sisumbui mtu Bali namlaani mfungaji(kimoyomoyo)...Narudi ofcn Mana sio mbali na ofisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…