Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Hahahaha.. Mkuu nilikua nachangamsha genge.

"Once a Tanzanian, Always a Tanzanian."
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu mimi nawewe ni wasaliti, lakini wewe umevuka na hatua nyingine kabisa. Umekua mnafiki
 
Unaudhi sana we jamaa/dada....Kina Manji,Zakaria,Manara na Mo walikuwa/ni CCM zaidi yako....nyie ndo mnavunja moyo watu kuipenda nchi yetu.Kila kitu mnataka kionekane uCCM badala ya uTanzania.
Huyo jamaa nimetamani nimtukane tusi lakini nimeona nitajidharirisha plus ban jamaa jinga hili sijui kama linajua mpira.
 
MCape Verde chali kifo cha mende
 
Ni marathoni, leo stars wametangulia ila washindi hukaa nyuma. Furaha ya muda tu hii kama ya *********.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…