Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Na hii ndio sababu JF hawaweki kitufe cha kufuta uzi.
 
Mibavicha kibao ilikuwa inaombea tupigwe na Cape Verde leo, unajifanya hujui?
 
Hahaha.. Ni kweli Mkuu.. Nifanyaje ili nami niweze kulijua soka kama wewe?? Msaada wako plzzzz.
Weka ushabiki pembeni unapozungumzia soka ili uwe objective, kinyume cha hapo chagua kubaki mshabiki na mhamasishaji, masuala ya ufundi usiyazungunzie kabisa.

Vv
 
Weka ushabiki pembeni unapozungumzia soka ili uwe objective, kinyume cha hapo chagua kubaki mshabiki na mhamasishaji, masuala ya ufundi usiyazungunzie kabisa.

Vv
Sawa Mkuu.. Naamini nikifuata ushauri huu adhimu ulionipatia nami nitakua mwana soka hasa hasa kama ulivyo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…