AbracadbraWale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
Vipi jezi ya Cape Verde ulipata mkuu? Siku nyingine uwe mzalendo bhanaMkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Tanzania Oyeee,Aibu kwa wale wasio itakia mema wameubbuka sana,Uganda lazima wawe upande wetu....TANZANIA. 2 0 CPV
Tanzania oyeee
Ameificha baada ya kichapoVipi jezi ya Cape Verde ulipata mkuu? Siku nyingine uwe mzalendo bhana
Kwani hujanielewa mkuu.???Mkuu wongo ndio nn
Atadai yuko eneo korofi, ndio zake hiziAmeificha baada ya kichapo
Haya ndo mambo kila Mtanzania anataka kuyaona.. Kila la heri Taifa Stars.Tutat
Tutatoboa tu, lazima kieleweke, nilisema wametufunga kwao nasi tutawafunga kwetu, na hill limetimia, asante vijana wetu, sasa tunatembea kifua mbele.huu moto hadi Cameroon,tunaweza maana nia tunayo,uwezo upo, Viva watanzania wenzangu, mapambano bado yanaendelea.
Imekula kwako.Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
Kichwa kimeshinda 2 bilaMatokea vipi?
Hahahaha umeachiwa msalaIna mana humu mshangiliaji wa Cape Verde nimebaki peke angu au??
Hahahahha we jamaaa bana mbumbumbu sana mtaniMkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
wachawi wameaibikaMnajisikiaje Washabk Wa Cape Verde Nw?
Hakika wewe ni mbumbumbu hutobadilika tenaMashabiki wenzangu wa Cape Verde..
Je mwajua kua, baada ya ushindi wetu wa leo hapo Taifa Stadium mida ya jioni, tunakata tiketi ya moja kwa moja kwenda kushiriki AFCON, mwakani nchini Kameruni??
Katika kundi letu tutaondoka na Uganda.. Huku Lesotho na hawa tunaowafunga leo wakibaki makwao.
Hawa jamaa wamezinguaaHahahaha umeachiwa msala