Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.

Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.

Karibuni...
Abracadbra
 
Tutat

Tutatoboa tu, lazima kieleweke, nilisema wametufunga kwao nasi tutawafunga kwetu, na hill limetimia, asante vijana wetu, sasa tunatembea kifua mbele.huu moto hadi Cameroon,tunaweza maana nia tunayo,uwezo upo, Viva watanzania wenzangu, mapambano bado yanaendelea.
Haya ndo mambo kila Mtanzania anataka kuyaona.. Kila la heri Taifa Stars.
 
Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.

Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.

Karibuni...
Imekula kwako.
 
Mashabiki wenzangu wa Cape Verde..

Je mwajua kua, baada ya ushindi wetu wa leo hapo Taifa Stadium mida ya jioni, tunakata tiketi ya moja kwa moja kwenda kushiriki AFCON, mwakani nchini Kameruni??

Katika kundi letu tutaondoka na Uganda.. Huku Lesotho na hawa tunaowafunga leo wakibaki makwao.
Hakika wewe ni mbumbumbu hutobadilika tena
 
Back
Top Bottom