Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Mkuu.. Kwa mara ya kwanza, Cape Verde imetuunganisha mashabiki wa soka nchini. Mashabiki wa Simba tumo, Yanga wamo na hata mashabiki wa timu ya Alex Kitenge, Stand United wamo.. lengo letu kuu ni 1 tu.. Kuunga juhudi wanazozifanya timu ya Cape Verde.
Hata na wa Mbao pia wamo
 
kwa hesabu za kwenye karatasi tu mnaziweza ,zile za mala tukimfunga huyu hapa tukaenda kwao tukatoa sale,harafu uganda akimfunga lesotho,nasi tukamfunga uganda cameroon ilee!!!mpira ni matokeo uwanjani na sio hesabu za probabity tu kila siku!!!
Mkuu baada ya kushinda leo.. Sisi (Cape Verde) tutakua na pointi 7 huku nyinyi mkibakiwa na pointi zenu 2. Hapo zimebakia mechi 2, ambapo tukishinda mechi 1 tu, hamtukamati.
Nyinyi mtabakia na mechi 2 ambazo zote mnatakiwa mshinde. Angalizo kati ya hizo mechi mojawapo mtakutana na Uganda inayoongozwa na Okwi.. Mnatokaje sasa?!!
 
Wanaume wa dar leo wamejiongeza hawaja tinga uwanja wa taifa
 
Hii aibu kwetu yaani nchi kama madagascar leo amefuzu na yupo juu ya senegal
 
Back
Top Bottom